Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Quoted for Reference!Kampeni za Lisu zimekushtua na zimeishutua CCM kuwa wananchi wengi hawakuridhika na namna ulivyoongoza katika kipindi hiki cha awamu ya kwanza.... Tumekaa na kufikiria tumeona tukupe kura as the last warning kwa CCM. Kama haya hayatafanyiwa kazi basi 2025 CCM isihangaike hata kuweka mgombea....
Hicho kikao mlikaa na nani mkawaza kumpata tena kura huyu jamaa? Mm yangu kaikosaKampeni za Lisu zimekushtua na zimeishutua CCM kuwa wananchi wengi hawakuridhika na namna ulivyoongoza katika kipindi hiki cha awamu ya kwanza..
Mimi siwezi kumpa kura ata abadilike je kasha ua maisha ya watu kwa kupenda sifa za kishambaKampeni za Lisu zimekushtua na zimeishutua CCM kuwa wananchi wengi hawakuridhika na namna ulivyoongoza katika kipindi hiki cha awamu ya kwanza..
Jiwe anaroho nzuri? My Goddess nani kakwambia?Kampeni za Lisu zimekushtua na zimeishutua CCM kuwa wananchi wengi hawakuridhika na namna ulivyoongoza katika kipindi hiki cha awamu ya kwanza. Tumekaa na kufikiria tumeona tukupe kura as the last warning kwa CCM. Kama haya hayatafanyiwa kazi basi 2025 CCM isihangaike hata kuweka mgombea...