Uchaguzi 2020 Rais Magufuli 28/10 tutakupa kura. Kama haya hayatafanyiwa kazi tutakutana tena 2025

Uchaguzi 2020 Rais Magufuli 28/10 tutakupa kura. Kama haya hayatafanyiwa kazi tutakutana tena 2025

Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania

Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
 
Kampeni za Lisu zimekushtua na zimeishutua CCM kuwa wananchi wengi hawakuridhika na namna ulivyoongoza katika kipindi hiki cha awamu ya kwanza.... Tumekaa na kufikiria tumeona tukupe kura as the last warning kwa CCM. Kama haya hayatafanyiwa kazi basi 2025 CCM isihangaike hata kuweka mgombea....
Quoted for Reference!
Thanks man 🙂
 
Hayo uliyoyataja utaishia kutamanishwa tu[emoji1782].Unajua kabisa kuwa CCM hawana mpango wa kuyafanya halafu unataka kuwapigia kura,mtu kama wewe anaitwa ni mpumbavu.Kama unayataka forget about CCM.Hayo uliyoyataja ndiyo agenda za msingi za chadema
43890890.jpg
 
Kampeni za Lisu zimekushtua na zimeishutua CCM kuwa wananchi wengi hawakuridhika na namna ulivyoongoza katika kipindi hiki cha awamu ya kwanza..
Mimi siwezi kumpa kura ata abadilike je kasha ua maisha ya watu kwa kupenda sifa za kishamba
 
Kampeni za Lisu zimekushtua na zimeishutua CCM kuwa wananchi wengi hawakuridhika na namna ulivyoongoza katika kipindi hiki cha awamu ya kwanza. Tumekaa na kufikiria tumeona tukupe kura as the last warning kwa CCM. Kama haya hayatafanyiwa kazi basi 2025 CCM isihangaike hata kuweka mgombea...
Jiwe anaroho nzuri? My Goddess nani kakwambia?
 
Back
Top Bottom