Rais Magufuli aagiza Madaktari waliohama Hospitali ya Rufaa mkoani Tabora kwenda Hospitali binafsi kwa kisingizio cha maslahi wafuatiliwe

Rais Magufuli aagiza Madaktari waliohama Hospitali ya Rufaa mkoani Tabora kwenda Hospitali binafsi kwa kisingizio cha maslahi wafuatiliwe

Inategemea na aina ya mfanyakazi, daktari ni precious serikalini kwa sasa.

Wawe wazalendo serikali inajitahidi inavyoweza kuboresha maslahi yao but the resources are limited.
Lakini resources za chato zipo
 
Acha uongo we taga..atangaze iyo nafasi uone
Tabora ni mji mdogo Mimi naona ndicho kilichomponza jamaa na hasa kwa wasomi kama yeye, huko ndiko waalimu , madaktari , wanasheria, mahakimu , polisi bado they command authority,

Sasa mfano akaondoka mtu kama huyo anacause chaos hapo alipotoka kwa maana kwamba anavuruga kabisa utendaji kazi wa eneo alikotoka. Sasa hii inavyoonekana ilileta shida.

Ila maeneo kama dar au kwingineko akiondoka mtu hata huwezi feel the pinch maana replacement inakua immediately.

Vijana wenyewe wakipewa kazi hawataki kwenda maeneo kama hayo, kisa watapoteza ramani.

Rais sio wakulaumiwa wakati mwingine, it's the system we established.

We need to change.
 
Madaktari wapo weng mtaani hawana ajira
It’s about how easy you can replace one thing from another; that’s how value is attached.

Walimu wapo wa kutosha and it doesn’t take much to be trusted.

Isitoshe hata daktari akichoka ku practice yupo entitled kubadilisha profession ni haki yake; lakini sio kuacha kazi ya udaktari sehemu moja kwenda sehemu nyingine. That is cheating the government
 
Tumia akili kidogo! Sheria inamtaka kila mwajiri kukata kutoka mshahara wa muajiriwa rejesho la hedlb na kuerejesha serikalini.
Kabla ya helsb tumia akili kujua kama aliondoka kwa kufuata taratibu. Ni akili kidogo sana
 
Kuna taratibu ya chama inayoruhusu ukitukane baada ya kuhama kisa umenunuliwa na chama tawala?
Zipo taratibu ZA kisheria za kushughulikia watukanaji wa aina yoyote
 
Put it this way realistically baada ya Magufuli hiyo hospitali aiwezi kuwa ya kanda the area just doesn’t fit the criteria.

Time will tell
Hakika.
Nasikitika kuwa watu wataburuzwa Kwa lazima kwenda kuishi na kufanya kazi hapo ili kuipa uhai. Soon TBA au NHC watahamia huko Kwa ajili ya kujenga staff houses, just to keep the village decent.
 
Kwanini sasa private isichukue hao?
Umejibu kwamba yeye aliacha ualimu kirahisi kwa sababu ya waalimu ni wengi, nikakujibu kwamba hata madaktari sasa hivi pia ni wengi mtaani, hebu rudi kwenye mada
 
View attachment 1689777
Rais Magufuli ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa jengo la magonjwa ya dharura Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tabora, akiwa katika eneo hilo ameagiza Madaktari waliohama Hospitali hiyo ya Serikali na kuhamia Hospitali binafsi kwa kigezo cha maslahi wafuatiliwe.

Rais Magufuli amenukuliwa akisema
“Madaktari wanapata mkopo 100% wakiwa Chuoni, halafu tunawapa ajira Serikalini wanakimbia kisa maslahi, si ungekimbia wakati unasoma? Hela yetu umekula halafu unakimbia kwenda Hospitali binafsi kwa kisingizio cha maslahi, ni kukosa uzalendo”

“Mtafuteni huyo Daktari aliyekimbia Hospitali ya Serikali na hiyo Hospitali binafsi aliyokimbilia, ikiwezekana tunamfungia Daktari, tunaifungia na Hospitali aliyoenda, wakati wa kusomesha hawatuchangii, tukishawasomesha wanakwenda kuwaiba, sio sawa

🤣🤣🤣🤣kwani taratibu za vyama vyao zikoje
Kwani
 
Kiseria, Kidogo napata shida maana ule ni mkopo, labda kama lipo sharti la kuitumikia serikali.

Kwa upande mwingine namwelewa..serikali yako itafute pesa tena 100% na akimaliza ukimhitaji anakupotezea. Inauma kama kiongozi. Ndo maana amezungumzia uzalendo.

Usishangae masharti ya mkopo yakabadilika kwa tukio hili.
 
Vipi na wale waalimu wanaopangiwa vituo na kusepa juu kwa juu au baadae kusepa bila kuaga baada ya kukutana na mazingira mabovu ya kazi wafanywe nini.
Tukubali tukatae KATIBA MPYA inayotokana na matakwa ya watanzania ni lazima ama sivyo tutaanza kupangiwa hata namna ya kupumua aiseee. Vyama vya wafanyakazi kimya, wanaharakat wa haki za binadamu kimya, jaji mkuu, spika nao wapo kimya. Hii kauli inawalakini kidogo.
Kuna watumishi wengi wa umma walioacha kazi na kukimbilia siasa na kupata ubunge wapo karibu na mkuu sijui hajawaona.
 
Mzee hajagundua tu kuwa watu wanahali mbaya mtaani


Ukiona hadi wafanyakazi wanaikimbia serikali jitafakali
Mm nilitegemea aseme kuanzia Sasa nawaonhezea madaktarimishahara maradufu ili wasiende sekta binafsi na si kuwablacklist
 
Umejibu kwamba yeye aliacha ualimu kirahisi kwa sababu ya waalimu ni wengi, nikakujibu kwamba hata madaktari sasa hivi pia ni wengi mtaani, hebu rudi kwenye mada
Nikwakwambia value of replacing an experienced teacher is not on equal per of replacing an experienced Dr.

The government places value on its asset, they can afford to loose teachers but not their experienced Drs.

Ndio maana nikakuuliza kwanini private wasiajiri inexperienced Drs na wakati wapo?
 
Kabla ya helsb tumia akili kujua kama aliondoka kwa kufuata taratibu. Ni akili kidogo sana
Wewe unajua nini kuhusiana na ishu za ajira kima wewe , we endelea kuuza mbunge hiyo na tigo , pimbi mmoja wewe .
Halafu watu wazima tukiwa tunajadili vitu vya maana funga kopo lako Hilo then https://jamii.app/JFUserGuide off !
 
Tatizo limeonekana kubwa hapo kutokana na serikali kushindwa kuajili madaktari upungufu ni mkubwa sana, kada nyingi watu wanaripoti wanafanya kazi mfupi wanaondoka Ila kwa kuwa kuna wazibaji nafasi kwa muda Mambo yanaenda.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom