Lakini resources za chato zipoInategemea na aina ya mfanyakazi, daktari ni precious serikalini kwa sasa.
Wawe wazalendo serikali inajitahidi inavyoweza kuboresha maslahi yao but the resources are limited.
Maelfu ya madaktari wanazunguka kutafuta kazi, kwa nini ahangaike na mmoja aliyejiondoa?
Mimi natoa pole kwa Majaliwa (PM), Kijazi(KMK), Samia(VP) na Diwani(DGIS). Poleni sana kwa majukumu mazito ya kulitumikia Taifa.
Chato sio hospitali ya kanda as yet aijafikisha utoaji wa kiwango icho cha huduma.Lakini resources za chato zipo
Tabora ni mji mdogo Mimi naona ndicho kilichomponza jamaa na hasa kwa wasomi kama yeye, huko ndiko waalimu , madaktari , wanasheria, mahakimu , polisi bado they command authority,
Sasa mfano akaondoka mtu kama huyo anacause chaos hapo alipotoka kwa maana kwamba anavuruga kabisa utendaji kazi wa eneo alikotoka. Sasa hii inavyoonekana ilileta shida.
Ila maeneo kama dar au kwingineko akiondoka mtu hata huwezi feel the pinch maana replacement inakua immediately.
Vijana wenyewe wakipewa kazi hawataki kwenda maeneo kama hayo, kisa watapoteza ramani.
Rais sio wakulaumiwa wakati mwingine, it's the system we established.
We need to change.
It’s about how easy you can replace one thing from another; that’s how value is attached.
Walimu wapo wa kutosha and it doesn’t take much to be trusted.
Isitoshe hata daktari akichoka ku practice yupo entitled kubadilisha profession ni haki yake; lakini sio kuacha kazi ya udaktari sehemu moja kwenda sehemu nyingine. That is cheating the government
Kabla ya helsb tumia akili kujua kama aliondoka kwa kufuata taratibu. Ni akili kidogo sanaTumia akili kidogo! Sheria inamtaka kila mwajiri kukata kutoka mshahara wa muajiriwa rejesho la hedlb na kuerejesha serikalini.
Walitoka wenyewe na warudi wenyeweeeMbona hawajarudishwa kwenye nafasi zao baada ya kukosa nafasi za kuchaguliwa kama taratibu zinaruhusu?
Zipo taratibu ZA kisheria za kushughulikia watukanaji wa aina yoyoteKuna taratibu ya chama inayoruhusu ukitukane baada ya kuhama kisa umenunuliwa na chama tawala?
Hakika.Put it this way realistically baada ya Magufuli hiyo hospitali aiwezi kuwa ya kanda the area just doesn’t fit the criteria.
Time will tell
MAVI MOTO..HAKUNA KITU ATAACHA MAGOFU YASIYO NA FAIDA...SASA HIO SECTA BINAFSI IKIFUNGWA ATAWAAJIRI YEYE,..Bado wale watumishi walokula mkopo wa benki na HESLB na kuacha kazi.
Awamu ya Moto hii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umejibu kwamba yeye aliacha ualimu kirahisi kwa sababu ya waalimu ni wengi, nikakujibu kwamba hata madaktari sasa hivi pia ni wengi mtaani, hebu rudi kwenye madaKwanini sasa private isichukue hao?
View attachment 1689777
Rais Magufuli ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa jengo la magonjwa ya dharura Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tabora, akiwa katika eneo hilo ameagiza Madaktari waliohama Hospitali hiyo ya Serikali na kuhamia Hospitali binafsi kwa kigezo cha maslahi wafuatiliwe.
Rais Magufuli amenukuliwa akisema
“Madaktari wanapata mkopo 100% wakiwa Chuoni, halafu tunawapa ajira Serikalini wanakimbia kisa maslahi, si ungekimbia wakati unasoma? Hela yetu umekula halafu unakimbia kwenda Hospitali binafsi kwa kisingizio cha maslahi, ni kukosa uzalendo”
“Mtafuteni huyo Daktari aliyekimbia Hospitali ya Serikali na hiyo Hospitali binafsi aliyokimbilia, ikiwezekana tunamfungia Daktari, tunaifungia na Hospitali aliyoenda, wakati wa kusomesha hawatuchangii, tukishawasomesha wanakwenda kuwaiba, sio sawa
Kwani🤣🤣🤣🤣kwani taratibu za vyama vyao zikoje
Mm nilitegemea aseme kuanzia Sasa nawaonhezea madaktarimishahara maradufu ili wasiende sekta binafsi na si kuwablacklistMzee hajagundua tu kuwa watu wanahali mbaya mtaani
Ukiona hadi wafanyakazi wanaikimbia serikali jitafakali
Malaya wewe ,Zipo taratibu ZA kisheria za kushughulikia watukanaji wa aina yoyote
Nikwakwambia value of replacing an experienced teacher is not on equal per of replacing an experienced Dr.Umejibu kwamba yeye aliacha ualimu kirahisi kwa sababu ya waalimu ni wengi, nikakujibu kwamba hata madaktari sasa hivi pia ni wengi mtaani, hebu rudi kwenye mada
Wewe unajua nini kuhusiana na ishu za ajira kima wewe , we endelea kuuza mbunge hiyo na tigo , pimbi mmoja wewe .Kabla ya helsb tumia akili kujua kama aliondoka kwa kufuata taratibu. Ni akili kidogo sana