usiwe na wasiwasi, huenda aliondoka kwa figisu na ndo maana bado wanamtaja/mshitaki, huenda anautetezi utakaookoa makumi ya wanyonge kama yeyeMitano tena!
Masikini sipati picha huyo doctor huko aliko ana hali gani muda huu... Pengine hii taarifa wameipata familia yake kabla yeye hajaipata
Hapa inabidi kuangalia kipi ni kipi. Uzalendo ni kitu kizuri, lakini uzalendo ni kwa kila mtu, na si kwa watu wachache tu. Sis binadamu siku zote tunataka zaidi na bora, kwa hiyi daktari kuhama kwa ajili ya maslahi siyo kukosa uzalendo. Huyu daktari kahamia hospitali binafsi lakini anatibu Watanzania.Huu ni upumbavu, Rais lazima asaidiwe na wasaidizi wake.....kauli zake za siku hizi hata chekechea anashangaa. Kuwekeana masharti mtu anatafuta maisha yake ni ujinga, ajirini wengine wapo mtaani kibao tu...........what if alijisomesha mwenyewe hakutumia huu mkopo ambao umeturudisha kwenye Ukoloni aliopambana nao Nyerere.
Hii mikataba ya ajira inabidi iangaliwe upya n wizara ya afya, watu awawezi kuichukulia serikali poa ivyo.
.
Walitoka wenyewe na warudi wenyeweee
Muulize kwanza mama yako babako ni nani!? Na kwanini alikusingizia baba mwingine halafu urudi na jina lingine hapaMalaya wewe ,
Mikataba ya vyama vya siasa na mikataba ya utumishi wa umma na maadili havijawahi fananishwaNa huyo Daktari alitoka mwenyewe serekalini, amwache arudi mwenyewe.
So long as the government is paying for the cost of their enhacement studies ni waajiriwa, besides they need to practice even after gaining further qualification kabla ujaitwa daktari bingwa experience which again is provided by government institutes or their partners.Nina imani utashauri pia sheria za kazi zilizopo zifuatwe. Mtu amejitoa kwenda kufanya specialization, anarudi kazini anakaa miaka 10 bila kubadilishiwa daraja wala mshahara. Anafanya kazi za kibingwa bila kupata maslahi ya kibingwa!
Hata kama mkataba ungetaka afanye kazi serikalini maisha yake yote, kwa kitendo cha kutoutambua ubobevu wake unakua umevunja huo mkataba.
Nikwakwambia value of replacing an experienced teacher is not on equal per of replacing an experienced Dr.
The government places value on its asset, they can afford to loose teachers but not their experienced Drs.
Ndio maana nikakuuliza kwanini private wasiajiri inexperienced Drs na wakati wapo?
Hivi jaman mshahara na marupurupu kwa mwezi ya mbunge Kama msukuma ni shilling ngapi ukilinganisha na yale ya daktari MD mbobezi?Nina imani utashauri pia sheria za kazi zilizopo zifuatwe. Mtu amejitoa kwenda kufanya specialization, anarudi kazini anakaa miaka 10 bila kubadilishiwa daraja wala mshahara. Anafanya kazi za kibingwa bila kupata maslahi ya kibingwa!
Hata kama mkataba ungetaka afanye kazi serikalini maisha yake yote, kwa kitendo cha kutoutambua ubobevu wake unakua umevunja huo mkataba.
Kuna costs incurred when you hire inexperienced Drs, achilia mbali financial costs but medical too they produce high mistakes which leads to loss of lives or deterioration of medical conditions; sio Tanzania tu kote duniani.experienced doctors they were once inexperenced!
Ichukue hao hao inexperienced,watapunguza hao madaktari ambao hawana ajira mtaani.
Na kama hutaki kuchukua inexperienced doctors, then improve maslahi ya hao experienced doctors! wasifikirie kwenda kwingine.
Huu ni uonevu.
Mamb ya ajabu sanaHii ni thinking ya ajabu sana! Yaani kwa sababu mmempa mkopo 100% ndio haruhusiwi kutafuta kazi yenye maslahi zaidi? Kwani huo mkopo si analipa? Au mikopo wanalipa waliojiriwa serikalini tu?
Shut up ! K*MA wewe , hamna wateja hapa ,unaropoka ropoka kama kahaba wa uwanja WA fisi kaona MB*LO , filthy whoreMuulize kwanza mama yako babako ni nani!? Na kwanini alikusingizia baba mwingine halafu urudi na jina lingine hapa
Mfyuuuuu[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
FALA MMOJA WEWE , kuna umuhimu WA Jamii forum kupima Iq ya majitu humu , stupid whore weweMikataba ya vyama vya siasa na mikataba ya utumishi wa umma na maadili havijawahi fananishwa
Mnaongozwa na mwendawazimu mganga wa kienyeji mmojaGwala [emoji109] tena !!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio Kwanzaa hata Januari haijaisha vyuma vimekaza mpaka vinaanza kukatika kudadeki bado tuna kama miaka mi'4 na miezi kadhaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
CCM OYEEEEE!!! Mbona huko nyuma sisikii sauti nasema tena CCM OYEEEEEE!!!
Mh!!! Mbona sisikii sauti jamani CCM OYEEEEEE!!!
[emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]
Mmesusa au jamani HAPA KAZI TU hebu itikieni basi ... [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Iyo private hospital inahudumia watanzania pia, ndio maana serikali inaingia nao ubia kwenye kutoa huduma za msingi bila kuwatoza pesa wananchi, kama huduma za mama na mtoto chini ya miaka mitanoView attachment 1689777
Rais Magufuli ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa jengo la magonjwa ya dharura Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tabora, akiwa katika eneo hilo ameagiza Madaktari waliohama Hospitali hiyo ya Serikali na kuhamia Hospitali binafsi kwa kigezo cha maslahi wafuatiliwe.
Rais Magufuli amenukuliwa akisema
“Madaktari wanapata mkopo 100% wakiwa Chuoni, halafu tunawapa ajira Serikalini wanakimbia kisa maslahi, si ungekimbia wakati unasoma? Hela yetu umekula halafu unakimbia kwenda Hospitali binafsi kwa kisingizio cha maslahi, ni kukosa uzalendo”
“Mtafuteni huyo Daktari aliyekimbia Hospitali ya Serikali na hiyo Hospitali binafsi aliyokimbilia, ikiwezekana tunamfungia Daktari, tunaifungia na Hospitali aliyoenda, wakati wa kusomesha hawatuchangii, tukishawasomesha wanakwenda kuwaiba, sio sawa”
View attachment 1689964View attachment 1689965