MAKUTUPULA
Member
- Dec 13, 2019
- 11
- 1
Uzalendo unalipia, nendeni mkajenge taifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ndio faida ya uzalendo..... Naam na ajira zimetangazwa sasa.... Wakuandamana na waandamane..
Aisee kujitolea kumbe ni kipimo cha uzalendo?
Kwa nini usifikirie ni kukosa mbadala kwa hiyo wanaona bora wawepo huko watalala na kula kwa uhakika.
Miongozo ya namna tunafikia maamuzi inabidi itazamwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Enyi watanzania haya Mambo ya kuhusisha siasa kila Jambo mtayaacha lini?Tena utakuta hao 800 ni vijana wa uvccm waliongizwa JKT kimkakati ili kuja kuilinda ccm isitokee madarakani.
Enyi watanzania haya Mambo ya kuhusisha siasa kila Jambo mtayaacha lini?
Daah mungu tuepushe na hili janga la Uchumia vyama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anafahamu fika kinachoendelea,kinachomshangaza ni jinsi watu wanavyotambua mbinu chafu zinazotumika kuwahadaa wananchi.Hizi ajira mpaka Rais ndiyo aseme?Huo ni utaratibu wa ajira?Huwezi kuona hilo lakini habari ndio hiyo.
Ngoja tusubirHakuna ajira 40,000, bali kuna za hao 800 wanaajiriwa kama sehemu ya jeshi la kuja kupambana na wananchi pindi watu wakichoka kuporwa kura zao.
Ndivyo ilivyo sasa.....hata ukinuna haisaidiiWadanganyeni wajinga wajinga na utapeli wenu
Hakuna ajira 40,000, bali kuna za hao 800 wanaajiriwa kama sehemu ya jeshi la kuja kupambana na wananchi pindi watu wakichoka kuporwa kura zao.
Nani kakuzuia wewe usiuendeleze? Weka hata thread milioni ukitaka. Lakini, jamii haikai na jambo moja tu mida wote.Mnaondolewa kwenye mjadala wa Tito!!!