Rais Magufuli aagiza vijana 800 wa JKT kuajiriwa

Rais Magufuli aagiza vijana 800 wa JKT kuajiriwa

Aisee kujitolea kumbe ni kipimo cha uzalendo?

Kwa nini usifikirie ni kukosa mbadala kwa hiyo wanaona bora wawepo huko watalala na kula kwa uhakika.

Miongozo ya namna tunafikia maamuzi inabidi itazamwe.

Sent using Jamii Forums mobile app

Tena utakuta hao 800 ni vijana wa uvccm waliongizwa JKT kimkakati ili kuja kuilinda ccm isitokee madarakani.
 
Huwezi kuona hilo lakini habari ndio hiyo.
Anafahamu fika kinachoendelea,kinachomshangaza ni jinsi watu wanavyotambua mbinu chafu zinazotumika kuwahadaa wananchi.Hizi ajira mpaka Rais ndiyo aseme?Huo ni utaratibu wa ajira?
 
Hakuna ajira 40,000, bali kuna za hao 800 wanaajiriwa kama sehemu ya jeshi la kuja kupambana na wananchi pindi watu wakichoka kuporwa kura zao.

Jeshini, Police, Magereza, Tanapa, Suma,?
 
Ajira February kwa bajeti ipi iliyo tengwa kwa malipo ya hawa waajiriwa wapya?
Bajeti ya July 2019 ilitenga pesa kwa ajali ya waajiriwa wapya?
 
Back
Top Bottom