Rais Magufuli aagiza Wajumbe wa NEC kusafiri bure na ndege ya ATCL iliyokuwa inashikiliwa Canada bure kurejea Dar es Salaam

Rais Magufuli aagiza Wajumbe wa NEC kusafiri bure na ndege ya ATCL iliyokuwa inashikiliwa Canada bure kurejea Dar es Salaam

Bara bara zikimalizwa kujengwa sijui kampeni zitafanywaje na wanasiasa

Nmejaribu kuwaza tu

Eeh
 
Sisi wajumbe wa nec ya ccm tumepewa shavu la kupanda ndege yetu mpya bureeeee kesho kutoka mwanza kwenda dsm na zenji maana tunatekeleza ilani ya chama chetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
tumelipa au bado tunadaiwa na mkulima isijeikawa furaha ya kupiga puchuuu ukidhani uo na wema kumbe ni kuta za bafuu
 
Back
Top Bottom