Bishweko
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 4,985
- 3,493
Kweli na magari yao yamerudi empty kabisa ...ni dereva tu.Huu ndiyo kubana matumizi na uzalendoKm ndege unaelekea Dar kwann iende empty wakati watu wapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli na magari yao yamerudi empty kabisa ...ni dereva tu.Huu ndiyo kubana matumizi na uzalendoKm ndege unaelekea Dar kwann iende empty wakati watu wapo
Nyerere naye alifanya upuuzi kama huu wa kuruhusu baadhi ya watu kutumia vya umma bure Magu naye anarudia upuuzi ule ule, kweli ushamba mzigo, fahari mama wa ujinga. Halafu eti huyu ndiyo aipeleke Tz kwenye uchumi wa viwonder!Kweli na magari yao yamerudi empty kabisa ...ni dereva tu.Huu ndiyo kubana matumizi na uzalendo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli maendeleo hayana chama...Wajumbe wa NEC Waliokuwa Mwanza Kesho saa 3 Asubuhi watapanda bure na Kurejea Dar es salaam kwa Kutumia Ndege ya Mpya Ya ATCL iliyokuwa inashikiliwa Canada na Mabeberu.
Watasafiri bure Kushuhudia Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM.
Hata Hivyo ifahamike kuwa Ndege Hiyo Mpya bado ipo kwenye Safari za majaribio kabla ya kuanza kutoa huduma Rasmi.
Tunatekeleza