Ulimbo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 3,766
- 4,048
Mwanzoni nilihisi kama vile nipo ndotoni...
Lakini kadri muda unavozidi kusonga ndo ukweli unavojidhihirisha... Ni kweli watapanda na kusafiri bure!
Na hii si mara ya kwanza kwa "ndege za magufuli" kutolewa bure kufanya shughuli za kujitolea!
Tunaosubiri hizi ndege zianze kurudisha gharama za manunuzi na kuanza kuleta faida nahisi tuna muda mrefu sana wa kusubiri!
Chadema wanakodisha na pesa zinaingia serikalini, lakini watu wanalalamika.
CCM ikizitumia bure, hakuna anayehoji.