Huoni kama umeandika utumbo hapa, umesema kama sehemu ya manunuzi ni pamoja na kuisafirisha toka Canada mpaka nchini Tanzania, Je Mwanza ipo nchi gani?Acha kuropoka hovyo wewe ! I know for sure final destination ni JNIA ndipo inafanyiwa post delivery inspection kwenye hanger na officials and engineers wa Tanzania in the presence of officials wa kiwanda ! Kwanini wasiipeleke kigoma airport kupokelewa huko ?
Na hizo mambo walishakubaliana kuwa final destination iwe Tanzania hivyo hata Mwanza ni Tanzania pia.
Yaani haujui mpaka sasa kwa nini ilitua Mwanza kwanza? kwa kukusaidia tu mpokeaji mkuu wa Ndege yupo Mwanza.
Sent using Jamii Forums mobile app