Rais Magufuli aagiza Wajumbe wa NEC kusafiri bure na ndege ya ATCL iliyokuwa inashikiliwa Canada bure kurejea Dar es Salaam

Rais Magufuli aagiza Wajumbe wa NEC kusafiri bure na ndege ya ATCL iliyokuwa inashikiliwa Canada bure kurejea Dar es Salaam

Rais John Magufuli ameagiza wajumbe wa NEC ya CCM wapande bure Bombardier kutoka Mwanza kwenda Dar as Salaam na Zanzibar ikiwa sehemu ya majaribio ya ndege hiyo inayowasili leo katika uwanja wa ndege wa Mwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
napendekeza zipakwe rangi pendwa ya kijani bila kusahau chata la nyundo na jembe
 
Km ndege unaelekea Dar kwann iende empty wakati watu wapo
Imetoka huko ilikotoka ikiwa tupu, kwa sababu inapelekwa kwenye kituo chake, Mapokezi yake kufanyika Mwanza siyo sababu ya kuifanya ibebe abiria kabla ya ratiba yake ya kibiashara kupangwa. Hao wajumbe wa NEC wangeisaidia ATCL vizuri zaidi kwa kulipia nauri ya kurudi Dar na Zanzibar kwa ndege nyingine iliyoko kwenye ratiba ya kibiashara.

Ukisikia biashara zinayumba na baadaye kufa, sababu kuu ni mambo yanayoonekana madogo madogo kama haya. Vipi ikipata ajali na hao wajumbe wakiwemo ikiwa kwenye safari ya kuelekea kituoni ... Gharama za bima kwa vyovyote haziwezi kuwahusu hawa wajumbe zaidi ya marubani na fundi mmoja aliyetajwa. Umakini unahitajika kwenye hili.
 
Imetoka huko ilikotoka ikiwa tupu, kwa sababu inapelekwa kwenye kituo chake, Mapokezi yake kufanyika Mwanza siyo sababu ya kuifanya ibebe abiria kabla ya ratiba yake ya kibiashara kupangwa. Hao wajumbe wa NEC wangeisaidia ATCL vizuri zaidi kwa kulipia nauri ya kurudi Dar na Zanzibar kwa ndege nyingine iliyoko kwenye ratiba ya kibiashara.

Ukisikia biashara zinayumba na baadaye kufa, sababu kuu ni mambo yanayoonekana madogo magogo kama haya. Vipi ikipata ajali na hao wajumbe ikiwa kwenye safari ya kuelekea kituoni ... Gharama za bima kwa vyovyote haziwezi kuwahusu hawa wajumbe zaidi ya marubani na fundi mmoja aliyetajwa. Umakini unahitajika kwenye hili.

Una PhD ya ushauri, wasipozingatia ikianguka kivyao.
 
Back
Top Bottom