MASIKITIKO
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 959
- 429
kwani kuna rais gani Tanzania aliyeserve term moja?Rais ametoa grace period mpaka 3023 anajuaje kama ataendelea kuw president?
Ngoja wazee waje tusikie mitazamo yao. Ila sijaelewa hiyo mpaka 2023 ndo iko vipi ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yale yaleHuenda ukawa sahihi mkuu Mr Q , ila kumbuka huyo bwana hashindwi kitu inapokuja suala la kugain sifa za kisiasa. Usishangae leo akasema anatoa 100% zote[emoji16][emoji16][emoji16]
Limerudishwa ndo maana yake kasema turudi mfumo Wa zaman had 2023,kachukue hela yakoVipi kuhusu FAO LA KUJITOA?
Hakuna haja ya kudebate sana swala hapa ni jambo jema lililofanyika kwa wafanyakazi.Umebadilisha kauli tena si ulikuwa unamtetea MHAGAMA na kanuni yake ya jikoni?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata kama ajisafishe namna gani,mimi kama mtumishi ninamwelewa huyo jamaa kama mtu mwenye roho mbaya dhidi ya wafanyakazi.
Lenyewe liliacha Ualimu kwa sababu ya maslahi duni,likakimbilia Kemikali ambako hapo napo halikukaa sana likaibukia kwenye Siasa,hiyo yote linatafuta 'green pasture'.Halafu leo linawahadaa wengine.
Mbona lenyewe halikubaki kwenye Ualimu hadi likafia huko kama Ualimu unalipa?...Kichwa kama dafu!
Hakuna haja ya kudebate sana swala hapa ni jambo jema lililofanyika kwa wafanyakazi.Umebadilisha kauli tena si ulikuwa unamtetea MHAGAMA na kanuni yake ya jikoni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu atakuwa wa kwanza kuserve one termkwani kuna rais gani Tanzania aliyeserve term moja?