Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

magufuri kweli? kweliiiii.....hopeless kabisa mpaka 2020 asalalee tutaona mengi sana!!
 
Jenista nae akiimba kurudishwa kikokotoo kipya, safi sana, Magufuli Oyeeeee
 
Mswada umepelekwa na serikali hiyo hiyo au hakuambiwa na wenzake?

Sent using Jamii Forums mobile app
ILA KWA KWELI UKIENDA MBALI SANA UNAONA JAMAA KAJIKWAMUA YEYE NA KUWAACHA WENZAKE WAKIWA NDIO WABAYA.
KIUFUPI TENGENEZA TATIZO KISHA LETA SOLUTION NA UTAPIGIWA MAKOFI NA VIGELEGELE.

ILA NAFURAHI NSSF HAWANIIBIA TENA PESA
 
Pale Mganga wa kienyeji anapomroga mtu kwa kutega dawa njia panda,kisha kuja kumtibu mwanakijiji huyo.Na kwa shukrani nyingi,mwanakijiji anampelekea mganga mbuzi ili ale.
 
KWA MARA YA KWANZA NIMEMUELEWA KARANJA MKUU.
MAFAO YETU WALITAKA KUTUIBIA HADHARANI PUMBAVU KABISA.

ILA BADO NILITAMANI WALIOTUINGIZA KATIKA UJINGA HUU WAWAJIBIKE, NAO NI YULE MAMA WA SSRA PAMOJA NA WAZIRI HUSIKA.
Mpaka 2023 sisi wengine itausaidia nini ambao tunastaafu baada ya miaka kadhaa mbele sana?acha kuongea ujinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
upinzani wa matukio chini ya Magufuli utajifia taratibu kwa kifo cha maumivu makali mno na hii inatokana na rais Magufuli alivyo mtekezaji. huu upinzani umejikita katika ajenda za matukio ambazo zinafanya kukosa nguvu pindi Magufuli anapowajibika nazo. CCM na Magufuli oyeeee
 
Back
Top Bottom