HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ILA KWA KWELI UKIENDA MBALI SANA UNAONA JAMAA KAJIKWAMUA YEYE NA KUWAACHA WENZAKE WAKIWA NDIO WABAYA.Mswada umepelekwa na serikali hiyo hiyo au hakuambiwa na wenzake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mchezo unaofanyika hapa, hatari sana hiiView attachment 979392
1.Jenga tatizo
2.Wacha walumbane wee
3.Then waite wote ikulu
4.Weka kamera kubwa sana
5.Toa uamuzi ambao ndio sahihi tangu mwanzo
6.Then beba sifa na utakatifu wote kwa kutatua tatizo ulilolijenga wewe mwenyewe.
Aisee jiwe ni wa kuhurumia kabisa!
Nyok kumam ye zako mseag kabodaRais ametoa grace period mpaka 3023 anajuaje kama ataendelea kuw president?
Mpaka 2023 sisi wengine itausaidia nini ambao tunastaafu baada ya miaka kadhaa mbele sana?acha kuongea ujingaKWA MARA YA KWANZA NIMEMUELEWA KARANJA MKUU.
MAFAO YETU WALITAKA KUTUIBIA HADHARANI PUMBAVU KABISA.
ILA BADO NILITAMANI WALIOTUINGIZA KATIKA UJINGA HUU WAWAJIBIKE, NAO NI YULE MAMA WA SSRA PAMOJA NA WAZIRI HUSIKA.