Wapinzani huwa wanaongelea issues kama hii ya 25%.upinzani wa matukio chini ya Magufuli utajifia taratibu kwa kifo cha maumivu makali mno na hii inatokana na rais Magufuli alivyo mtekezaji. huu upinzani umejikita katika ajenda za matukio ambazo zinafanya kukosa nguvu pindi Magufuli anapowajibika nazo. CCM na Magufuli oyeeee
Tunawaza sawa mnama.Create a problem then solve it fast you become a hero......
Id yako imenitoa machozi wallahRIP Kasuku Bilago, tutakukumbuka daima. Na alaaniwe MHAGAMA na kizazi chake, naandaa Uzi mwingine kwa ajili yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anawachezea akili tuRais Magufuli anafurahisha sana yupo CCM lakini anatekeleza sera za CDM......ESTER BULAYA UKO WAPI!!!JOHN MNYIKA UMESIKIKA!!Hongera Rais wetu.
Mh.Jenista Muhagama na akina IRENE wa SSRA kiko wapi???
Credit gani? Mwanzon walikuwa wanalipwa kwa asilimia ngap? Yaan utengeneze tatizo kwa makusudi,halafu unalitatua. Mwisho wa siku uonekane jasiri
ee bwana ni kweli? maana tumeteseka sana .Limerudishwa ndo maana yake kasema turudi mfumo Wa zaman had 2023,kachukue hela yako
Siasa ni akili tuCreate a problem the solve it, hahaha.., hizi ni leadership skills pia...
Rais Magufuli hausiki na fomula ya kikokotoo kimpya msimsingizie wanajamii forum
alikuwa anaongea kama nchi yake binafsi. pole yake sasa hivi atakuwa anaukaribisha mwaka mpya kwa mawazo sana ya kutumbuliwa.2023 kikokotoo kitatupa wastaafu 70%.
Good riddace Dr Magufuli. Yaani yule shosti w SSRA alikuwa anaita madai ya wafanyakazi kelele, kelele...🤬🤬🤬🤬
KUNA TATIZO HATA KWAKE MGANGA WETU, HAIWEZEKANI MACCM WENZAKE WAPLAN KUTUKANDAMIZA YEYE YUKO KIMYA TU. TENA AKASAINI ULE MSWADA KUWA SHERIA HALAFU ANAKUJA KUPATA HOJA ZA KUJIBU MALALAMIKO MIEZI MITATU AU ZAIDI BAADAE??Halafu sheria mpaka zianze kutumika si lazima zipitie kwake? Kwa hiyo akipelekewa huwa hasomi anasaini tu?
Rais Magufuli hausiki na fomula ya kikokotoo kimpya msimsingizie wanajamii forum