Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

upinzani wa matukio chini ya Magufuli utajifia taratibu kwa kifo cha maumivu makali mno na hii inatokana na rais Magufuli alivyo mtekezaji. huu upinzani umejikita katika ajenda za matukio ambazo zinafanya kukosa nguvu pindi Magufuli anapowajibika nazo. CCM na Magufuli oyeeee
Wapinzani huwa wanaongelea issues kama hii ya 25%.
 
Rais Magufuli hausiki na fomula ya kikokotoo kimpya msimsingizie wanajamii forum
 
INMGEFAA PIA WABUNGE WA CCM WAWAJIBISHWE. WANAPITISHA SHERIA ZA KIJINGA KISHA WANAMPA KAZI RAIS KWA MAMBO AMBAYO KAMA WANGEKUWA MAKINI YANGEKUWA YAMEISHA.
KIMSINGI BUNGE NI ZIMWI LISILO NA FAIDA KWA TAIFA LETU.
 
Kwa namna Suala la kikokotooo lilivokuwa likijadiliwa na kupingwa na raia wengi watu wa ccm walikuwa wakisapot utadhani ilikuwa haki..lakini Leo Magufuli kawarudi basi utaona watakavyojirudi na kujidai ni wao waliopinga...nimeamini ccm mbulula wotee.. Nawasubiri na wale maafisa waliojidai wanatufafanulia... Mother... Fantastic...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tengeneza tatizo watu walalamike wee njoo baadae Waite ikulu litatue wakushangilie kama mwokozi wao.
Siasa kazi rahis sanaa
 
2023 kikokotoo kitatupa wastaafu 70%.

Good riddace Dr Magufuli. Yaani yule shosti w SSRA alikuwa anaita madai ya wafanyakazi kelele, kelele...🤬🤬🤬🤬
 
Credit gani? Mwanzon walikuwa wanalipwa kwa asilimia ngap? Yaan utengeneze tatizo kwa makusudi,halafu unalitatua. Mwisho wa siku uonekane jasiri

Yani hawa jamaa ni mapunguani kabisa.

Sasa muone Jenister alivyoumbuka...

Ohh tutakaa mezaniii ...

Mkae mezNi wTu wanakufa.
 
Sifikirii kuna great thinker humu ndani hawakujua nini kitakwenda kutokea magogoni leo hii, na pia sidhani kuna great thinker ambae hakujua kuwa huyu pimbi bado anatumia mbinu za kizamani za enzi za mawe za kuanzisha ttzo na baadae kuja kujifanya kulitatuA.... basi kama yupo wa hivyo ni dhahir si great thinker
 
Rais Magufuli hausiki na fomula ya kikokotoo kimpya msimsingizie wanajamii forum

Siamini kama kuna viongozi wanaweza wakabadilisha pasipo ruhusa yake si kwa Magu huyu.
 
2023 kikokotoo kitatupa wastaafu 70%.

Good riddace Dr Magufuli. Yaani yule shosti w SSRA alikuwa anaita madai ya wafanyakazi kelele, kelele...🤬🤬🤬🤬
alikuwa anaongea kama nchi yake binafsi. pole yake sasa hivi atakuwa anaukaribisha mwaka mpya kwa mawazo sana ya kutumbuliwa.
 
Halafu sheria mpaka zianze kutumika si lazima zipitie kwake? Kwa hiyo akipelekewa huwa hasomi anasaini tu?
KUNA TATIZO HATA KWAKE MGANGA WETU, HAIWEZEKANI MACCM WENZAKE WAPLAN KUTUKANDAMIZA YEYE YUKO KIMYA TU. TENA AKASAINI ULE MSWADA KUWA SHERIA HALAFU ANAKUJA KUPATA HOJA ZA KUJIBU MALALAMIKO MIEZI MITATU AU ZAIDI BAADAE??
 
Rais Magufuli hausiki na fomula ya kikokotoo kimpya msimsingizie wanajamii forum

Eti ee...

Sasa kwanini leo kapelekewa yeye!??

Muswada alisaini nani!!?
 
Back
Top Bottom