Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

Ila mkuu kwanini 2023?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
BORA KILA MTU AFE NA CHAKE MAPEMA KULIKO KUTULETEA VIKOKOTOZI NA MAFAO YA OVYO OVYO,SIJUI FAO LA KUKOSA AJIRA SSRA SOMA HIYOOOOO
MTU AKIACHA ,AKIACHISHWA AU AKISTAAFU APEWE CHAKE ATAJIJUA MWENYEWE AKAFIE MBELE.
KULIKO KULETA MAKANUNI YA OVYO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi imepata rais sahihi asiyeangalia chama chake kina msimamo gani, yeye ni problem solver wa wananchi bila kujali vyama wala dini
Hakuna kitu hapoo... 2020 Hii itakuwa sera yake piaa...!! Aisee mnapotezwa maboyaa sanaaa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jamaa anajua kulaa na kipofuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashangaa wanaosema Rais ni mtetezi wa wanyonge na watumishi kwa ujumla! Kwaalichokifanya Leo ni muendelezo wa kukanyaga taasisi nyingine ambazo amekua akizipa maelekezo yeye mwenyewe na baadae kuja kuyapinga yeye mwenyewe....Hii Sheria ni serikali yake ndoiliyoipeleka Bungeni kupitia Waziri wake ambae kimsingi Rais anshiriki kwenye Cabinet...Anyway ata Bunge lilivopitisha muswada yeye aliusaini kwa mbwembwe kua sheria Leo inamaana ata wabunge wake na Spika wake aliemfanya msukule wake anawapinga Kweupee....Rais kama kweli ni mtetezi wa watumishi basi aombe Radhi watumishi kwa kuvuruga miundo ya utumishi hasa madaraja huwezi amini ila ndo ukweli Leo 2081 Wanaotakiwa kupandishwa madaraja ni watumishi wa 2014 lakini bado yuko 2012 je haoni kavuruga kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka 3 hakuna ongezeko la mishahara na maslahi yenu yanazidi kukandamizwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
hahahah wafanyakazi wana akili timamu zaid yako na ndiyo maana waomba meza ya mazungumzo na kitu kimejibu. Hongera wafanyakazi tembeeni vifua wazi.
 
Ila bado haijakaa vizuri hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuri anadhani waTz ni wajinga sana na ana fikra za wakati ule "watalalamika usiku asubuhi watasahau"!. Huyu jamaa anatengeneza tatizo baadaye yeye anatafuta tiba ya tatizo. Hii ina maanisha anajaribu kujiijenga kisiasa kuaminisha Umma ni mtu anayejali matatizo yao. Kingine nimeamini Bunge limemezwa na serikali sabb hata kama kikokotoo kilisainiwa na Waziri kwenye kanuni baada ya Bunge kupitisha muswada aliousaini, basi taratibu zile zile zingetumika kurudisha tena bungeni kujadiliwa ili waziri atengue ile kanuni lakini sio Magufuri kutoa amri ya kutengua kanuni ya kutekeleza sheria iliyotungwa na Bunge
 
Rais kajitia mamlaka ya kuamua kila kitu. Bunge halina kazi tena. Sipika alijisemesha kuw huu mchakato utarudishwa bungeni lakini Rais katoa kauli yake na maamuzi yake kwa siku moja. Bunge lifutwe tu halina maana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Narudia, na nitarudia Tena na Tena! Wasameheni CCM kwani Ni Slow Learners! Wote! Hili la Leo wanadhihirisha jinsi gani wasivyoweza ku foresee future events. Yaani Hadi Mwenyekiti wao! Kwani hili limesikika Mwezi huu wa 12?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BINARY NO hao wanaopewa maagizo hawana uwezo wa kufikiri? Kama wewe ni mteule na unaenda mwendo bendera hufai. Yaani huwezi kutumia hata common sense na logic kidogo na kuweza kusema hapana kwa kutoa supporting facts!
 
Imetoka hiyo wafanyakazi hawaijui JF mtabaki mnalalamika lakini wanyonge wamepata chao. Mifuko imepewa home work kupunguza wasteful expenditure ili 2023 ikiwezekana formula ibaki ileile. Wapinzani kama mlitegemea hii gear ya kikokotoo muingie nayo. Hahaha it is time barred, sorry colleagues
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…