Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)


sio kama siasa, ni siasa na propaganda za kinafiki!

Kwa mujibu wa utaratibu wa Public Administration in Tanzania kitu mpaka kimepitishwa tayari kimeshajadiliwa na Baraza la mawaziri ambao Mwenyekiti ni Rais na pia kimejadiliwa na Inter Ministerial Technical Committee (IMTC) ambapo Mwenyekiti wake ni Katibu Mkuu Kiongozi.

Sasa jiulize kama alikua hajui hili suala, ameona reaction ya umma imekua kubwa anajisafisha wakati ndio aliwatuma hao wakurugenzi wa hiyo mifuko kufanya huo ujinga.

Halafu kuna watu wanasifia eti Raisi wa wanyonge katusaidia wakati Rais huyo huyo ndo amekwapua nyongeza ya mishahara na kupanda kwa madaraja kwa watumishi( hashindwi kukwapua mafao).

kilichomtuma kukusanya kodi yote ikae mifukoni mwake na kufanya matumizi anavyotaka ndo kinachomdanganya na kupelekea kua na kibri cha kukopa pesa za wastaafu na kununua wabunge na chaguzi za kipuuzi na kujisifia kununua ndege na kutengeneza madaraja bila utaratibu( bunge) na kupigiwa makofi na wapuuzi wachache!
 
Nimecheka sana nilipofika kwenye maneno matatu ya mwisho. Umeghadhabika sana ndugu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Bwana Kikaturu..

Sasa sijui kama kujenga tatizo mwenyewe halafu ulitatue mwenyewe ndio akili au upumbavu?

Huu ni ujinga jumlisha ujinga!
 
KIKOKOTOO
MIAKA 55 NDIO IMEKUFA KIFO CHA MENDE,FAO LA KUKOSA AJIRA KAPUNI
NAONA FAO LA KUJITOA LINAREJEA
ASANTE MAGU

Dah mkuu so fao la kujitoa linarudi?? What a news[emoji3][emoji3][emoji3] ngoja niresign nichukue mpunga wangu aisee[emoji847][emoji847][emoji847]
 
Kaweka 50% kwa mpito anamaanisha nini? subirini ifike hiyo 2023 aliyoisema achaguliwe kwa mara nyingine kama hataweka mafao 10%.
 
Hahahahahahaaa eti mpaka 2023 baada ya kuchaguliwa tena mm nao ni yaleyale ya katiba mpya baada ya kuondoka alie fuata mnajua alicho sema. Raha sana kuongeza taifa hili


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
FAO ni kitendawili mkuu.. Hata hiyo 33.3% ni njoo kesho Mara kesho kutwa Mara baada ya week mpaka ukose nauli ya kufuatilia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…