Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka 3 hakuna ongezeko la mishahara na maslahi yenu yanazidi kukandamizwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siasa za kishamba sana hizi. Yaani mtu unatrgeneza tatizo Kisha unakuja kulitatua ili uonekana hero!! Rais wa ajabu sana. Mpaka mswada unapita alikuwa wapi??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wewe ni Mtaendaji Katika awamu hii ya Serikali ya Wanyonge ukiona hoja Halali ya Serikali (iliyoamuliwa na SERIKALI) Inapingwa na wengi na ukaona wanasiasa wa upinzani wanaisimmia ....ni lazima uwe makini sana katika kuipigia chapuo na kufafanua ! uataonekana mjinga mkubwa .Pole sna Irene Isacka
Pole sasa ulijitoa muhanga kuwa kuhakikisha wastaafu wanateseka kumbuka na wewe ni mtumishi utastaafu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi alisaini kuwa sheria Mkuu ?
Alisaini aisee...Alikuwa anasikilizia kelele! Hata siku ile ya Mnyika akaishia kutoa vijembe. Kama walau tusingepiga kelele jamaa alikuwa anazunda akaendeleze miradi na viwanda! Si unaona hata swala la nyongeza ya mishahara?
 
watu wanatafuta kiki tu hapo.

wametengeneza tatizo ili waonekane wamelitatua!

si ajabu waziri mhusika akatolewa kafara.
Saa nyingine ni busara kusikiliza na kusoma kimya kimya bila kuchangia kitu.

Umeambiwa hicho kikokotoo kilipangwa na waziri na katibu wakuu wa wizara husika wakati wa awamu ya nne.
 
Kama wewe ni Mtaendaji Katika awamu hii ya Serikali ya Wanyonge ukiona hoja Halali ya Serikali (iliyoamuliwa na SERIKALI) Inapingwa na wengi na ukaona wanasiasa wa upinzani wanaisimmia ....ni lazima uwe makini sana katika kuipigia chapuo na kufafanua ! uataonekana mjinga mkubwa .Pole sna Irene Isacka

Ajiuzulu
 
Mimi nakubaliana na maamuzi 100% lakini swali kwani kuna serikali ndani ya serikali? maana Serikali ikiongozwa na yeye ndio walipeleka haya mabadiliko yakafanywe sheria bungeni leo tena anakuja mwenyewe kupinga mapendekezo yake, na kama suala matumizi mabaya hili ni la serikali kuchukuwa hatua wafanyakazi hawana dhambi kwanini walikuwa wabebeshwe mzigo sio wao. Sheria imepitishwa bungeni inatengeliwa ikulu na hakukuwa na haja ya kuwasikiliza kuongea maana Rais alishakuja na maamuzi tayari. Mimi naschukulia kuwa kampeni za uchaguzi zimeanza rasmi ila play ground haiko level. leo kocha kawa refa.
 
Nimeshangaa maamuzi aliyotoa ni kama wanajichanganya,
Kwani hao viongozi wa mifuko ya jamii si yupo nao kila saa na hata usikute wazo alilitoa yeye,
Sipingi ila ninavyoona serikali inafanya mambo kwa kukurupuka na kutokufikiria
Kwani hawakuona sheria hii ni mbovu na itaumiza watu wakati wakitaka kuipitisha?
Yani lililofanyika leo ni kama siasa
 
Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka 3 hakuna ongezeko la mishahara na maslahi yenu yanazidi kukandamizwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wewe ni Mtaendaji Katika awamu hii ya Serikali ya Wanyonge ukiona hoja Halali ya Serikali (iliyoamuliwa na SERIKALI) Inapingwa na wengi na ukaona wanasiasa wa upinzani wanaisimmia ....ni lazima uwe makini sana katika kuipigia chapuo na kufafanua ! uataonekana mjinga mkubwa .Pole sna Irene Isacka

Katumwa na huyo huyo jiwe!

Then jiwe huyo huyo kafanya yake!

Namshauri Irene ajiuzulu ili walao kutuma msg kwa jiwe kwamba mchezo anaofanya ni wa kitoto mno na sio vizuri kabisa!

Yaani jiwe kageuza vijakazi wake ni mapunguani!
 
BINARY NO hao wanaopewa maagizo hawana uwezo wa kufikiri? Kama wewe ni mteule na unaenda mwendo bendera hufai. Yaani huwezi kutumia hata common sense na logic kidogo na kuweza kusema hapana kwa kutoa supporting facts!
Bahati mbaya sana serikali hii ndivyo ulivyosoma.Kufuata upepo/bendera ni kigezo kwenye teuzi za awamu hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafakuri

Ukiona Mzazi wako anapenda kutengeneza tatizo kisha analitatua yeye mwenyewe, tena kwa kujifanya kwamba tatizo hilo limemuuma na anawajibika kulitatua yeye kwa sababu ana upendo sana, watoto mnatakiwa kuwa makini sana na vyanzo vya matatizo yenu katika familia.

Mosi, kama ikitokea kwamba tatizo lolote yeye hakulisababisha lazima Mtoto utawajibishwa tu tena bila huruma. Pili, Mzazi wenu akiwa ana tabia hizo mjue ni mpenda sifa kwelikweli. Tatu, ataendelea kutumia njia hiyohiyo ya kuanzisha matatizo na kuyatatua endapo watoto mtapiga kelele nyingi. Mkinyamaza mjue kwamba itakula kwenu na mtaumia kwelikweli.

Suluhisho Mzazi wenu akikosea mwambieni mapema kwamba, hili tatizo chanzo chake ni hiki, lakini kamwe hawezi kukiri kwamba yeye ndo kasababisha. Akijirudi ni kushukuru maana katambua alipokosea japo hataki kukiri kosa.

#LeaveUrLegacy

Simon Ngusa Jilala
Huyu jamaa nilishangaa alipomtimua Mwiguru akidai amechoka kutoa pole wakati yeye ndiye chanzo cha matatizo na alifanya hivyo baada ya " mtoto wake" kumzidi ujanja na kuwafanyizia hata wale wasiohusika na maelekezo yake
 
Back
Top Bottom