Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

Wanyonge wanasema Lissu kanyagia hapo hapo.

Siku tatu tu baada ya kutangaza nia kumeleta presha namna hii. Je ukianza kukata mbuga?

Hizi ni dalili za beki wao kuanza kurudisha mipira kwa kipa. Au tuseme jamaa kakimbilia kituo cha Polisi baada ya wananchi kumtait.

Kwa dalili hizi hatutashangaa kusikia uchaguzi umeahirishwa kuokoa hela za wanyonge
 
Unaongea pumba sana.Nenda kashtaki
 
habari wadau..

mifuko imeunganishwa imebaki miwili tu..

kuna haja gani ssra kuwepo.

watu wanaiba na kujenga ma eco village na elephant project kwa hela za wanachama ssra kimya tu.

watu wanaweka vikokotoo vya kinyonyaji ssra kimya..


najiuliza ssra wanafanya kazi gani

nazani ssra ingefutwa tu kama ile taasisi ya dodoma ya viwanja janja janja ilivyofutwa
 
urais ni jukumu kubwa sana kwa Lissu,tuweni wakweli
 
Jiwe anajiangusha mwenyewe maana yeye mwenyewe alitia saini juu ya hio sheria, inaamana hakuisoma? Labda tufanye hakusoma sababu imeandikwa kwa kiingereza je washauri wake hawakumshauri ipasavyo...tufanye hawakumshauri je hao washauri au wasaidizi wake hawakumtafsiria pia?
 
Mimi ndio maana huwa naunga mkono upinzani, maana hoja zao zimelenga zaidi kuwatetea watanzania.

Unaweza leo usielewe hoja za upinzani lakini ipo siku utazikumbuka na kuzielewa.

Viva Mnyika.
Viva Ester Bulaya.
Viva CHADEMA.
 
Jiwe ni design ya wale watoto ambao ukimtishia picha za kutisha lazima kama sio kuota usiku basi lazima akojoe kitandani. Anamuogopa sana Lissu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…