Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

Jiwe anajiangusha mwenyewe maana yeye mwenyewe alitia saini juu ya hio sheria, inaamana hakuisoma? Labda tufanye hakusoma sababu imeandikwa kwa kiingereza je washauri wake hawakumshauri ipasavyo...tufanye hawakumshauri je hao washauri au wasaidizi wake hawakumtafsiria pia?
Kikokooteo hakipo kwenye sheria bali kwenye Kanuni inayopitishwa na kusainiwa na Waziri tu mkuu.
 
Swali fikirishi walipata muda gani wa kupata kibali na kuandaa maandamano kwasababu hii imekuja kama suprise au taarifa ilivuja kwao?
Mleta Mada ajibu hili swali na ndio maana magu ni mnafiki sana
 
Naamini kabisa waandamanaji ni wanachama wa CCM.
 
mwanza eti wafanyakazi wameandamana kumpongeza,jamani hii nchi
 
Kikokooteo hakipo kwenye sheria bali kwenye Kanuni inayopitishwa na kusainiwa na Waziri tu mkuu.
Sheria huambatana na kanuni za jinsi ya kuitekeleza pamoja na vifungu vya adhabu kwa watakaoivunja. Swali langu, kama sheria ile aliisaini kwa maana kuwa itumike, ni sahihi kuitengua kwa tamko badala ya kuirudisha bungeni kufanyiwa amendment? Hebu fafanua hapa kidogo kwa faida ya wengine wenye shaka!
 
Wanyonge wanasema Lissu kanyagia hapo hapo.

Siku tatu tu baada ya kutangaza nia kumeleta presha namna hii. Je ukianza kukata mbuga?

Hizi ni dalili za beki wao kuanza kurudisha mipira kwa kipa. Au tuseme jamaa kakimbilia kituo cha Polisi baada ya wananchi kumtait.

Kwa dalili hizi hatutashangaa kusikia uchaguzi umeahirishwa kuokoa hela za wanyonge
Hakuna cha Tundu Lissu wala nini?????ni jambo ambalo Rais alisikia malalamiko ya watumishi nakuamua kulishughulikia inavyopaswa kuwa!!!!
Hivi kwa akili ya kawaida TL atakuwa Rais wa Nchi hii??labda wa hapa jf au facebook!!
 
Tayari hukooo....huyu mama nataarifiwa ana PhD wapi naweza kupata Thesis yake nimeangalia Google siioni
 
Kwa mujibu wa ITV, wafanyakazi hao wameandamana chini ya uratibu was vyama vya wafanyakazi. Swali ni lini waliandaa mabango na kibali cha maandamano waliomba lini na hata RC alijulishwa saa ngapi?...inafanana na maigizo!
Bwana bwana hilo swali hata miye nimejiuliza mh kaongea SAA tano Yale mapango wameyandaa mda gani yani yalichorwa na kukauka mda upi
 
Kwa mujibu wa ITV, wafanyakazi hao wameandamana chini ya uratibu was vyama vya wafanyakazi. Swali ni lini waliandaa mabango na kibali cha maandamano waliomba lini na hata RC alijulishwa saa ngapi?...inafanana na maigizo!

Swali gumu Sana hili nadhani kulikuwa Kuna Namna haiwezekani ndani ya saa chache maana Rais katangaza neema saa sita kasoro alafu saa nane eti muandamane na na mabango hii ya ajabu.

Tengeneza tatizo Kisha tatua uwe shujaa
 
nchi Hii bwana!
Tayari mama wa Watu wamekula kichwa huko
 
umekaa kujiuliza kuwa kwanini John Mnyika alitoa hoja tano na ni tatu ndizo zilizojibiwa pale pale na mbili hazikujibiwa?

ni kwa sababu hizo mbili hazikujibiwa kwa sababu ndizo hoja za msingi na rais Magufuli hakuzijibu kwa sababu alikuwa bado anazishughulikia na leo hoja moja imepata ufumbuzi

usitegemee rais kuvunja sheria kwa kusema kwamba maamuzi ya mahakama ya kuwabomelea wale watu sio sahahi. sahau hicho kutokea
wapiga kura wangu msiwavunjie[emoji196] [emoji83] [emoji90] [emoji61]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom