Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikokooteo hakipo kwenye sheria bali kwenye Kanuni inayopitishwa na kusainiwa na Waziri tu mkuu.Jiwe anajiangusha mwenyewe maana yeye mwenyewe alitia saini juu ya hio sheria, inaamana hakuisoma? Labda tufanye hakusoma sababu imeandikwa kwa kiingereza je washauri wake hawakumshauri ipasavyo...tufanye hawakumshauri je hao washauri au wasaidizi wake hawakumtafsiria pia?
Mleta Mada ajibu hili swali na ndio maana magu ni mnafiki sanaSwali fikirishi walipata muda gani wa kupata kibali na kuandaa maandamano kwasababu hii imekuja kama suprise au taarifa ilivuja kwao?
Sheria huambatana na kanuni za jinsi ya kuitekeleza pamoja na vifungu vya adhabu kwa watakaoivunja. Swali langu, kama sheria ile aliisaini kwa maana kuwa itumike, ni sahihi kuitengua kwa tamko badala ya kuirudisha bungeni kufanyiwa amendment? Hebu fafanua hapa kidogo kwa faida ya wengine wenye shaka!Kikokooteo hakipo kwenye sheria bali kwenye Kanuni inayopitishwa na kusainiwa na Waziri tu mkuu.
Wafanyakazi wetu wapuuzi sana.ndio maana wanadharaulika .na hapo wengi ni walimu.
Mtu anawanyanyasa bado mnampongeza
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna cha Tundu Lissu wala nini?????ni jambo ambalo Rais alisikia malalamiko ya watumishi nakuamua kulishughulikia inavyopaswa kuwa!!!!Wanyonge wanasema Lissu kanyagia hapo hapo.
Siku tatu tu baada ya kutangaza nia kumeleta presha namna hii. Je ukianza kukata mbuga?
Hizi ni dalili za beki wao kuanza kurudisha mipira kwa kipa. Au tuseme jamaa kakimbilia kituo cha Polisi baada ya wananchi kumtait.
Kwa dalili hizi hatutashangaa kusikia uchaguzi umeahirishwa kuokoa hela za wanyonge
Bwana bwana hilo swali hata miye nimejiuliza mh kaongea SAA tano Yale mapango wameyandaa mda gani yani yalichorwa na kukauka mda upiKwa mujibu wa ITV, wafanyakazi hao wameandamana chini ya uratibu was vyama vya wafanyakazi. Swali ni lini waliandaa mabango na kibali cha maandamano waliomba lini na hata RC alijulishwa saa ngapi?...inafanana na maigizo!
Kwa mujibu wa ITV, wafanyakazi hao wameandamana chini ya uratibu was vyama vya wafanyakazi. Swali ni lini waliandaa mabango na kibali cha maandamano waliomba lini na hata RC alijulishwa saa ngapi?...inafanana na maigizo!
Kaka MTU kala posho ya 20,000. - 50,000= kutembee kwa nusu SAA na kushika bango trust me,!.. PropagandaWafanyakazi wetu wapuuzi sana.ndio maana wanadharaulika .na hapo wengi ni walimu.
Mtu anawanyanyasa bado mnampongeza
Sent using Jamii Forums mobile app
wapiga kura wangu msiwavunjie[emoji196] [emoji83] [emoji90] [emoji61]umekaa kujiuliza kuwa kwanini John Mnyika alitoa hoja tano na ni tatu ndizo zilizojibiwa pale pale na mbili hazikujibiwa?
ni kwa sababu hizo mbili hazikujibiwa kwa sababu ndizo hoja za msingi na rais Magufuli hakuzijibu kwa sababu alikuwa bado anazishughulikia na leo hoja moja imepata ufumbuzi
usitegemee rais kuvunja sheria kwa kusema kwamba maamuzi ya mahakama ya kuwabomelea wale watu sio sahahi. sahau hicho kutokea