Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

Wana bahati sana yaani!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhani kama kutatokea jipya hapo, zaidi ya kupigilia msumari katika ishu yenyewe.
 
Anaenda kuwanyamazisha kwa biti moja kaliiiiiiiiiiiiiii sana wasipinge tena masuala ya KIKIOKOTOOOOOOOOOOOOOOOO. Kama alivyowazima mwaka jana kuhusu stahiki za watumishi.

=====================================

 
Headlines za gazeti la Uhuru kesho: "Magufuli awapa wastaafu zawadi ya mwaka mpya" Asema hatasaini sheria mpya inayowanyonya wafanyakazi, aagiza kikokotoo cha zamani kiendelee kutumika. Aahidi kuendelea kuboresha maslahi ya wafanyakazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…