Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Aliyetengeneza tatizo eti leo anatafuta kiki kwa kujifanya anatatua ! poor Tanzania !Tutakuwa live hapa na luningani kote
Karibu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyetengeneza tatizo eti leo anatafuta kiki kwa kujifanya anatatua ! poor Tanzania !Tutakuwa live hapa na luningani kote
Karibu!
Ujinga mtupu alete matatizo yeye unamsifia kwa lipiSafi jembe langu, msikivu na mtetezi wa wanyonge
Huu uzi nitausoma hadi nukta ya mwisho
😀😀😀😀😀😀😀😀Hii ni habari njema, mtujuze yanayojiri
Tutakuwa live hapa na luningani kote
Karibu!
Uzi imedodaINAKUJIA HIVI PUNDE. RAIS WA WANANCHI NA MASKINI WA TANZANIA, DR JIOHN POMBE MAGUFULI KUKUTANA NA VIONGOZI WA VYAMA VYA WAFANYAKAZI PAMOJA NA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII KUZUNGUMZIA NA KUTATUA TATIZO LA KIKOKOTOO CHA MAFAO YA KUSTAAFU AMBACHO KIMELETA GUMZO KUBWA KATIKA SIKU ZA HIVI KARIBUNI HAPA NCHINI.
RAIS MAGUFULI AMBAYE NI RAIS MSIKIVU NA MCHUKUA HATUA NA MTEKELEZAJI WA KILE ANACHOKISEMA ATATOA KAULI KUHUSU KADHIA HII KUBWA KWA WAFANYAKAZI. STAY TURNED KUPATA HABARI MUBASHARA KUPITIA UZI HUU.
Wanataka ule ushibe kwanza[emoji23][emoji23]saa ngapi? maana nilivoona huu uzi nikaamka haraka kwenda kuwasha tv...naona TBC mapish tu