Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

Mabingwa wa kutengeneza matatizo na kuyatatua wenyewe kwa manufaa yao ya mtaji wa kisiasa.
 
This time around serikali inafanya mchezo wa "hide and seek". Yaani una create tatizo na baadaye unakuja na majibu yake. Baadaye unasimama mbele ya makamera na kusitisha 25%, hii ni serikali ya wanyonge ndugu zangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haha ha haa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nani kakwambia atasitisha subiri majibu. atakacho fanya labda kuongeza 5%-10% na itakomea hapo.
Huenda ukawa sahihi mkuu Mr Q , ila kumbuka huyo bwana hashindwi kitu inapokuja suala la kugain sifa za kisiasa. Usishangae leo akasema anatoa 100% zote😁😁😁
 
Sitashangaa kusikia kuwa leo anawaongeza jmaa mishahara ghafla na mambo ya kikokoto kipya anayatupilia mbali. Hii ndyo inaitwa create a problem, solve it and become a hero in politics

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii mbinu muasisi wake mkuu ni Hitler " Aliwahi kulipua bunge la nchini kwao ili,ajipatie sympathy toka kwa wananchi .. na Akafaulu kuupata utawala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JENISTER MHAGAMA NA HUYU MAMA IRENE WA SSRA YAPASWA WATUMBULIWE HAPOHAPO, HAWAYAJUI MAISHA YA WANYONGE WA TANZANIA, HAWAJUI HALI HALISI YA WAAJIRIWA WA TANZANIA, SUALA HILI LA KIKOKOTOZI NA FAO LA KUJITOA LINAHITAJI WATU WENYE AKILI TIMAMU KULETA SULUHU LA KUDUMU ILI LISIUMIZE WAFANYAKAZI..

JENISTER MHAGAMA NA HUYO MAMA IRENE THEY MUST GO..
Wapumbavu sana hao watu,tena Mhagama anaongea kwa madaha kabisa sijui anamletea nani urembo pale nyambafi kabisa huyo mama
 
Mm naomba mjadala uhusishe na fao la kujitoa pia,tofauti na hapo jiko kikao ni ubatili mtupu
 
Back
Top Bottom