Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

Hata kama ajisafishe namna gani,mimi kama mtumishi ninamwelewa huyo jamaa kama mtu mwenye roho mbaya dhidi ya wafanyakazi.

Lenyewe liliacha Ualimu kwa sababu ya maslahi duni,likakimbilia Kemikali ambako hapo napo halikukaa sana likaibukia kwenye Siasa,hiyo yote linatafuta 'green pasture'.Halafu leo linawahadaa wengine.

Mbona lenyewe halikubaki kwenye Ualimu hadi likafia huko kama Ualimu unalipa?...Kichwa kama dafu!
 
Nasubiri hapo kwenye FAO la kujitoa, naziona dalili za kuturudishia hii kitu.
Kweli kabisa Mkuu, fao la kujitoa lilitusaidia sana wanyonge kupata mitaji, Tunamuomba mheshimiwa Rais atusaidie pia na hili, kusubiri hadi miaka 55 ni mateso na wengi tumepunguzwa kazi na ajira hakuna.
 
Back
Top Bottom