MasterP.
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 8,063
- 6,405
Labda kaenda kuharishaJiwe mbona ametoroka kwenye kiti? Hahaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda kaenda kuharishaJiwe mbona ametoroka kwenye kiti? Hahaa
hilo nalo nenooooNawaambieni hapa hakuna jipya jiwe ni zaidi ya umjuavyo
Siyo migodini tu,private sector zoteKusubiri hadi ustaafu ndio upate chako ni ujinga
Wale wa migodini
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa Mkuu, fao la kujitoa lilitusaidia sana wanyonge kupata mitaji, Tunamuomba mheshimiwa Rais atusaidie pia na hili, kusubiri hadi miaka 55 ni mateso na wengi tumepunguzwa kazi na ajira hakuna.Nasubiri hapo kwenye FAO la kujitoa, naziona dalili za kuturudishia hii kitu.
Siyo migodini tu,private sector zote
FAO LA KUJITOA Ni mhimu Sana
Kama Tundu Lissu anavyotaka kuilipua Tanzania kwa US ana EUHii mbinu muasisi wake mkuu ni Hitler " Aliwahi kulipua bunge la nchini kwao ili,ajipatie sympathy toka kwa wananchi .. na Akafaulu kuupata utawala
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutasikia mengi mno, hata usishangae lile jiwe linalotawala dar likaamishwa Ili mrad tu