lushalila
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 282
- 109
Kikokotoo tu kimezungumzwa , FAO la kujitoa mbona kimya, wahanga wake tuko wengi jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui wewe ni Malay wa aina gani. Wapinzani ndo walistukia hiki kikokotoo kibovu na wakakipinga kwa nguvu leo hii mmetatua tatizo mlilotengeneza wenyewe then unakuja hapa unashangilia Kama zuzu
wakati mwingine huwa nashangaa sana kwakweli.... nakumbuka watu walivyoshangilia kuhusu korosho kilichofuatia hakuamini.Siku za mbele litaibuka kundi linataka kuandamana kumpongeza kwa uamuzi alioufanya leo
We jamaa uandishi wa miherufi mikubwa ndo nini sasa?
Movie zimejaa uongo na stori za kufikirika. Reality ni kwamba HIV imetengenezwa kwenye maabara za marekanYee ipo muvi ipakue youtube utaelewa namna HIV ilivyotengenezwa na proffessor mmoja mrusi kule ufaransa jina la movie ni eternal youth for comrade Stalin !
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu kama wewe ndio wapumbavu wa kwanza, ambao hamna tofauti na viongozi wa vyama vya wafanyakazi Rais anaosema wanatumika kisiasa.
Kila kukicha ni kusifia tu jembe lako hata kama kafanya upuuzi, walipo leta 25% ulisifia wenye akili wakakosoa leo rais kusema 25% iwe suspended baada ya kuwaelewa wenye akili unasifia tena.
Bora ungekuwa nyama uwe kitoweo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mtu anayejali maslahi ya watumishi hapo.Bwanamkubwa kapata la kufungia mwaka. anamaliza mwaka akiwa shujaa anasifiwa. makofi na vigeregere kwake. kama ilivyo kawaida yake anatengeneza tatizo kisha analaumu watangulizi . anatufanya fyatu hatuna akili. kwakuwa tumezoea kusifia tutasifia .... haijawahi kutokea? .... ni raisi wa pekee... hamnazo.
kama nilimsikia vizuri bwana haambiliki alisema kikotoo kimeahirishwa hadi 2020 nasi twashangilia kama kumeza panadol kupunguza maumivu mnashangilia nini?
Mwaka wa tatu baada ya raisi kuingia madarakani 2015 hakuna nyongeza ya mishahara wala maslahi mengine huku hali na gharama za maisha zikiwa zimepanda sana kuanzia kodi ya pango mpaka nauli za kwenda kazini. watumishi wananyanyaswa wanaitwa majina mabaya kila uchao.
swali langu kwa viongozi wa vyama MLIKUWA MNASHANGILIA NINI PALE IKULU?
watumishi wa umma wa Tanzania amkeni hakuna viongozi wanaowajali ni waigizaji tuu
Mkuu ukimsikia Rais kwa Umakini Inaonesha Wazi Mifupo haina pesa sasa kikotoo cha 25% ilikuwa ni njia yakutokea, all in all Aibu kwa wabunge Wa CCM.hiki kinachofanyika ikulu leo ni kulivua bunge nguo,kwa utaratibu wa kawaida ili mswada wa (usio wa dharula)kuingia bungeni ni lazima hatua ya kwanza kuwashilikisha wadau husika...sasa hawa wote walioko ikulu ni wadau wa mifuko ya jamii iweje leo kila mtu analalamika inamaana maoni yao hayakutiliwa maanani au labda kanuni hazikufuatwa!
aliyekwambia kikokotoo ni cha ccm nani?, bunge halitengenezi kikokotooo nduguWabunge wa ccm na mawaziri pamoja na mwenyekiti wao wanakaa wanashauriana ujinga na kuupitisha..
Halafu wanakuja tena kukaa na kushangaa ujinga wao.
TUNAEANDA AU TUNARUDI NYUMA?