Huyo hajui kuandikaLekudute ndo kitu gan mkuu? Nadhan ulitaka kuandika leka dutigite
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo hajui kuandikaLekudute ndo kitu gan mkuu? Nadhan ulitaka kuandika leka dutigite
Nyie mambulula ndio mnaoona atapata kwa hizo asilimia lakini sisi wenye akili zetu tunaona atapata upinzani mkali kuanzia huko huko chamani kwenu mpaka kwa wananchi wa kawaida, endeleeni kumpigia makofi tu badala ya kumwambia ukweliMnasema kwa kujifurahisha tu na kufurahisha genge. 2020 anapita kwa 90% na siai tunawaona mambulula tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Naapa kwa shada ya mwenyezi Mungu, aliyeumba mbingu na nchi, kama nikilipwa hela zangu mimi niliyekuwa sekta binafsi na michango yangu nikapeleka Nssf, sitarudia tena kujiunga na mfuko huo, hata kama ni kwa mjibu wa sheria. Bora nijiajiri kwenye mashamba yangu ya kufuga mbuzi. ShiiitHakuna jipya hapo maana pesa zote za mifuko ya hifadhi ya jamii pesa zote ashazitumia
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati Mnyika na Bulaya wanakomalia jambo hilo si ni nyie mlikuwa mnawazodoa na kuwarushia vijembe ?! Juzi kwenye uzinduzi wa barabara, Mnyika aligusia swala hili. Alichofanya mh ni kumkrash Mnyika. Na kuwaambia wananchi wasimuamini !!
Leo kalizungumzia Rais mnampandisha chati huku akiwa mwanzilishi wa picha.
Nchi hii ni yetu sote tuheshimiane tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui wewe ni Malay wa aina gani. Wapinzani ndo walistukia hiki kikokotoo kibovu na wakakipinga kwa nguvu leo hii mmetatua tatizo mlilotengeneza wenyewe then unakuja hapa unashangilia Kama zuzu
Mkuu Maharo, kiukweli wewe ni ma... kabisa kama jinalako lilivyo, hii kitu kilikuwa mubashara kabisa na rais kalizungumza vizuri sana na kulipangua, halafu wewe unauliza?.Wadau ,
Nimeshangazwa Sana na mkuu wa inchi kutolizungumzia suala la FAO LA KUJITOA hasa kwa wafanyakazi wa sector binafsi Hivi inaingia akilini Kweli ??
Cha kushangaza , Hili Jambo halijapata watetezi hata kidogo , Kama la kikokotoo, sijui Ni kwanini .. Mimi naamini wadau wangekuwa wanapiga katika suala la kikokotoo pamoja na Hili la FAO , nadhani mkuu Leo angeliondo pia
Naandika haya kwa uchungu sana , maana Hili limenigusa Sana
Kafanyaje? Wengine tukiwa job data tunazima. Ndio twatoka job sasa.HONGERA KWA ZAWADI NZURI KWA WAFANYAKAZI MH.RAIS.
By Mwl.Osunga Jr.
Mwaka 1949 bada ya muda mrefu wa vita na hatimaye mapinduzi ya CHINA yaliyochochewa na Communist party kilichoongozwa na Mao Tse Tung dhidi ya chama cha mabeberu cha Kumunitang kilichoonzwa na Kaishek Isen.
Mao aliweza kuutangazia umma wa wachina waliokuwa wakulima na wafanyakazi zaidi ya asilimia 80 kuwa China itakuwa nchi ya wakulima na wafanyakazi.
Kwa nukta hiyo mitaala ya Elimu ilibadilishwa na vitabu vikaandikwa upya vilivyokuwa vinazungumzia umuhimu wa wafanyakazi pamoja na wakulima.
Mapinduzi haya yalitanguliwa na Yale ya Urusi (Russian Revolution) ya mwaka 1917,October.yaliyochochewa na Bolshevik party kilichoongozwa na V.I.Lenin baada ya kupata uungwaji mkono kutoka kwa wakulima na wafanyakazi waliokuwa wakipata mateso na manyanyaso kutoka kwa Tanaka tawala
Hivyo Lenin akaitangaza Urusi kuwa nchi ya kijamaa.
Sera za kijaamaa ziliendelea kuingia katika nchi nyingi za Kiafrika kwa majina yao mfano, Humanism pale Zambia, Common Man's Charter pale Uganda, Harambee pale Kenya na hapa kwetu tulikiuwa na Ujamaa na kujitegemea.
Mwaka 1962 mpango mkakati wa uchumi wa 1962-1966 ulionesha sisi lazima tuachane na Sera za kibebari na kufuata Sera za kijamaa, ilichukua muda hadi 1967 ambapo kwenye mkutano wa pale Arusha ulipitisha Azimio la Arusha lililoonesha sasa mlengo wetu kiuchumi, tukiwa tunaendelea kutambua mchango wa wakulima na wafanyakazi.
Mwaka 1977 kiliundwa chama cha mapinduzi ambacho ni muunganiko wa TANU na ASP chama hiki kipya kilikuwa na nembo inayoonesha jembe na nyundo.Ikiashiria tutaendelea kuwajali wafanyakazi.
Alichokifanya Rais Leo ndo maana halisi ya CCM, na ndo maana ya Ujamaa lazima tuendelee kuwajali na kuwaathamini watu hawa.
Baaada ya zawadi hii nzuri ya Rais kwa wafanyakazi naomba pia Rais chetu kipenz afanye pia haya.
a)Awaongeze wafanyakazi hawa mishahara kwa kazi kubwa wanayoifanya.
b)Afungulie ajira kwa kada mbalimbali ikiwemo Ualimu kwani Sera ya Elimu bure imefanya kuwepo kwa ongezeko kubwa la wanafunzi na kuchochea upungufu wa walimu.
Kwa wanaokwambia walimu wametosha wanataka uteuzi Mh. Walimu hawapo.
c) Pitia tena ruzuku za wakulima na kuhimiza wakurugenzi wawapeleke maafisa kilimo vijijini kutoka semina za kilimo na si kukaa tuu ofisi.
Baada ya ushahuri huo kama taifa bado tuko vizuri, tunapaswa tena kujipanga na kufika wenzetu.
Hakika Rais naona moyo wa Mao, Lenini, Bismarck na Roosevelt ndani yako.
Nawaomba watanzania tuunge mkono jitihada hizo.l
0756231744
BASAM..
Na nyie mlikua mnaropoka kwa kitu ambacho mnajua kakileta mwenyewe halafu ana ki solve mwenyewe?????Wakati Mnyika na Bulaya wanakomalia jambo hilo si ni nyie mlikuwa mnawazodoa na kuwarushia vijembe ?! Juzi kwenye uzinduzi wa barabara, Mnyika aligusia swala hili. Alichofanya mh ni kumkrash Mnyika. Na kuwaambia wananchi wasimuamini !!
Leo kalizungumzia Rais mnampandisha chati huku akiwa mwanzilishi wa picha.
Nchi hii ni yetu sote tuheshimiane tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu paskali , tusaidie maana wengine uelewa wetu Ni mdogo , hivi kasemaje kuhusu FAO LA KUJITOAKitu kilikuwa mubashara na kalizungumza vizuri sana na kulipangua!.
P.
Kalizungumzia rudia kusikiliza hotuba yakeWadau ,
Nimeshangazwa Sana na mkuu wa inchi kutolizungumzia suala la FAO LA KUJITOA hasa kwa wafanyakazi wa sector binafsi ..
Hivi inaingia akilini Kweli ??
Mtu anayefanya taasisi private sector huwa anafanya kwa mkataba wa mwaka mmoja , miwili au mitatu inategemea na kampuni , lakin mtu huyo eti akimaliza mkataba au akiachishwa eti asichukue mafao mpaka afikishe miaka 55 ?
Eti katika sheria mpya mtu Kama huyo anapewa asilimia 33 ya mshahara wake wa mwisho Kama fao la kukosa ajira ..
Hivi huu si wizi wa wazi kabisa ??
Yaàni hela yangu mwenyewe unanipngia jinsi ya kunipa ?
Wengine wanafanya kazi kwa kutegemea baada ya contract kuisha anakusanya fungu la kutosha akafanye Mambo mengine ikiwemo biashara au kilimo na ufugaji kwani anakuwa amekusanya mtaji tayari
Cha kushangaza , Hili Jambo halijapata watetezi hata kidogo , Kama la kikokotoo, sijui Ni kwanini .. Mimi naamini wadau wangekuwa wanapiga katika suala la kikokotoo pamoja na Hili la FAO , nadhani mkuu Leo angeliondo pia
Kusema ukweli , huku sector binafsi watu wanafanya kwa malengo ya kujiajiri baadae , na siyo ajira ya maisha , mojapo ya vyanzo ya mtaji Ni mafao maana makampuni mengi hayatoi mtaji ...
Naandika haya kwa uchungu sana , maana Hili limenigusa Sana
Ha ha ha .Naunga mkono hoja.
P
Rais anao wajibu wa kuelewa content ya kile anacho idhinisha,Lawama zirudi kwa bunge, wao ndio wanaamua sheria iwaje. Rais kazi yake ni kuidhisha ianze kazi, wabunge wakiamua kuinadili watabadili any time.