tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 24,225
- 22,632
Kwa hiyo hizo Trilion 8 ambazo serikali imechota kwenye mifuko unataka ziende bure au unamanisha nini?Unaongea pumba sana.Nenda kashtaki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo hizo Trilion 8 ambazo serikali imechota kwenye mifuko unataka ziende bure au unamanisha nini?Unaongea pumba sana.Nenda kashtaki
Unda tatizo,tatua tatizoSafi jembe langu, msikivu na mtetezi wa wanyonge
Yaani hata huo u-doctor sijui aliupatajeIle ni saa mbovu.... basi tu haijafikishwa kwa fundi...... na baada ya ile ajali.... sijui....
Unda tatizo, tatua tatizo, panda kisiasa.
Labda mama yako ndo domo kaliweka juuAta wale wakulima wa zao la korosho walipewa maneno ya pangoni sasa wanalia midomo wanaelekeza juu
Kikokotoo cha 25% Kiliwahusu wafanyakazi kekee ambao Agosti Mosi walikuwa na umri wa chini ya miaka 55. Yaani Watumishi waliokuwa na umri wa miaka 54 Kushuka chini. Wale wote wa Umri Wa miaka 55 kwenda juu walikuwa wana faidika na Formula ya Zamani kabla ya mifuko kuunganishwa na wenyewe hawa kamahesabu wanamalizia mwaka 2023. Agosti.Ndugu, Niwaambie kabisa ya kuwa tokea awali ni kwamba kikokotoo cha formula ya 25 % kilikuwa hakiwagusi kabisa wale wote wastaafu ambao Tarehe 01/08/2018. Walishafikisha Umri wa miaka 55. Hivi ni kusema ya ya kuwa group hili lilikuwa linastaafu kwa lazima mwaka 2023. Ambao Mh. Rais Magufuli ndio aliotangaza mwisho wa kuharisha formula mpya. Kundi hili lilikuwa halihusiki kabisa na kanuni mpya ya kikokotoo . Kipya.
Tunamuomba Mheshimiwa Rais aridhie ile formula ya kikokotoo cha Zamani kiendelee hata baada ya mwaka 2023.
Pamoja na hayo Tunampongeza sana Mh. Mafuli tunasema ni mwanzo mzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahaha ngoja nikaoge kweliVitu vingine Nyota Mkuu sasa Wewe una Nyota ya Bundi na Popo akupende Demu gani? Kaoge Coco Beach au Kawe Beach tafadhali.
Labda mama yako ndo domo kaliweka juu
Hizo assumptions zako za hasi!Wadau nadhani bahati kwa watumishi watakaofikisha miaka 55 ifikapo mwaka 2023 imepatikana. Nawasihi sana wasisubiri watimize miaka 60 ya kustaafu kwa Lazima watalia kilio cha Mbwa Koko na Watapata taabu sana.Sheria mpya ya Mafao huenda ikawa yenye maumivu makubwa kuliko hii.kwani Mifuko isipoimarika haiwezi kutoa mafao mazuri na kodi zisipokusanywa vya kutosha ni dhahiri mifuko itayumba.Shime Wenye kufikisha miaka 55 IFIKAPO 2023 Chukueni chenu mapema bahati ndio hiyo,
Sent using Jamii Forums mobile app