Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

CCM ni ukoo wa panya—babu mwizi, baba mwizi, watoto wezi, wajukuu wezi, vitukuu wezi, vilembwe wezi na vining’ina wezi! Ukoo huu wa panya walikuwa wanasafiri katika boti la muhogo, lakini kwa sababu ya uroho wao, walianza kulitafuna boti! Kilichofuata ni ukoo mzima wa kizazi cha panya kuzama na kuangamia.

CCM wameanza kuitafuna nchi tangu mwaka 1961 lakini ukomo wao wa kutafuna rasilimali za nchi ni mwaka 2020 kwani hakuna mtanzania mwenye hamu ya kuongozwa na chama cha kifisadi kama CCM ambacho kimeshindwa kuboresha maisha na ustawi wa watanzania. Wananchi wamechoka kubebeshwa ‘magunia ya misumari’ ya bei ya juu ya chakula, mfumuko wa bei wa kutisha, elimu duni, maisha duni, ufisadi wa kutisha, ESCROW na matatizo lukuki yanayosababishwa na panya (CCM) hawa wasiokuwa na haya! Kizazi kizima cha CCM kinakaribia kuzama na kusahaulika kabisa katika ardhi ya Tanzania.

It’s a matter of time before CCM dynasty comes to an end, and that’s when magambas will apprehend the significance and power of the people. Desolately, CCM have been ignoring and looking down their noses at common Tanzanians for many years. Time has now come when citizens can no longer endure CCM’s tyranny and corrupt rule. Everybody is tired of living like a slave on a land endowed with an assortment of natural wealth which only benefits minority fisadis and a few elites in power while majority Tanzanians lead very miserable lives.

What comes around goes around. Let CCM go to hell for good because they have absolutely failed to uplift the living standards of millions of Tanzanians at the expense of a few fisadis whose gargantuan stomachs never fill up! And no one should be blamed for the hatred and grudge that majority people hold against CCM and their crooked government except fisadis themselves who, horrifically, decided to gnaw the cassava-made boat by which they were sailing!
 
nakumbuka enzi hizo mama ananichapa halafu ananibembeleza tena.. Teh teh ndo hii sasa
 
Kila siku unaanzisha uzi kuhusu ufafanuzi wa vikokotozi,una interest gani Mkuu?
 
Ndugu, Niwaambie kabisa ya kuwa tokea awali ni kwamba kikokotoo cha formula ya 25 % kilikuwa hakiwagusi kabisa wale wote wastaafu ambao Tarehe 01/08/2018. Walishafikisha Umri wa miaka 55. Hivi ni kusema ya ya kuwa group hili lilikuwa linastaafu kwa lazima mwaka 2023. Ambao Mh. Rais Magufuli ndio aliotangaza mwisho wa kuharisha formula mpya. Kundi hili lilikuwa halihusiki kabisa na kanuni mpya ya kikokotoo . Kipya.
Tunamuomba Mheshimiwa Rais aridhie ile formula ya kikokotoo cha Zamani kiendelee hata baada ya mwaka 2023.
Pamoja na hayo Tunampongeza sana Mh. Mafuli tunasema ni mwanzo mzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kikokotoo ndo kalukuleta au huu ni msamiati mpya?
 
Kikokotoo cha 25% Kiliwahusu wafanyakazi kekee ambao Agosti Mosi walikuwa na umri wa chini ya miaka 55. Yaani Watumishi waliokuwa na umri wa miaka 54 Kushuka chini. Wale wote wa Umri Wa miaka 55 kwenda juu walikuwa wana faidika na Formula ya Zamani kabla ya mifuko kuunganishwa na wenyewe hawa kamahesabu wanamalizia mwaka 2023. Agosti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau nadhani bahati kwa watumishi watakaofikisha miaka 55 ifikapo mwaka 2023 imepatikana. Nawasihi sana wasisubiri watimize miaka 60 ya kustaafu kwa Lazima watalia kilio cha Mbwa Koko na Watapata taabu sana.Sheria mpya ya Mafao huenda ikawa yenye maumivu makubwa kuliko hii.kwani Mifuko isipoimarika haiwezi kutoa mafao mazuri na kodi zisipokusanywa vya kutosha ni dhahiri mifuko itayumba.Shime Wenye kufikisha miaka 55 IFIKAPO 2023 Chukueni chenu mapema bahati ndio hiyo,

Hizo assumptions zako za hasi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom