Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,618
- 4,605
Ukweli usio na kificho ni ccm Kuna watu wengi wasiojielewa mpaka inampa wakati mgumu maghufuli wa kuchagua mawaziri ndiyo maana anajikuta anateua walewale aliowafukuza mwanzoUkitaka kupima kuwa rais amechoka, hafikirii nje ya wigo, ni haya anayoyafanya.
1. Alijigamba kuwa mtu akiharibu kazi hamuhamishi, anafukuza.
2. Alipotengua nafasi ya Mwigulu alimsema sana kwa kuwa incompetent.
3. Leo anampa wizara ya Katiba.
Amechoka, hana jipya, amekata tamaa.
Ukitaka kupima kuwa rais amechoka, hafikirii nje ya wigo, ni haya anayoyafanya.
1. Alijigamba kuwa mtu akiharibu kazi hamuhamishi, anafukuza.
2. Alipotengua nafasi ya Mwigulu alimsema sana kwa kuwa incompetent.
3. Leo anampa wizara ya Katiba.
Amechoka, hana jipya, amekata tamaa.
Kwamba utakamatwa na kuminywa pumbu?Aisee!! Sisi wengine ni "Verified User" kama alivyo Pascal Mayalla mabandiko mengine tutaishia kusoma tu na siyo kuchangia!!