Rais Magufuli aeleza sababu 13 za kumfukuza kazi Mwigulu Nchemba

Binadam kweli tunamkubali mtu anapokuwa kwenye cheo,..tu na akitolewa huwa tunamponda Sana,..waliokuwa wanamponda mwigulu leo ndo wamerud jukwaani kumpongeza...

Usimalize maneno...mwanangu...
Hakuna aijuae kesho yake..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ndani ya siku moja(saa 24) unaanzisha nyuzi ngapi? Kama hutojali, nini kazi yako inayokupatia mkate wa kila suku?
 
Nyinyi si mnajidai mmegoma sasa mnafuatilia nini mambo ya serikali, kaeni vyumbani kwenu mkija kutoka nje tushamaliza na uchaguzi kabisa
 
Waziri wa katiba na sheria atakua Mwigulu Nchemba, habari ndio hiyo!
Ulichoandika hapo ni ngonjera tu..
 
Mwigulu ni faithful and loyal follower wa Magufuli.

Mwigulu pamoja na kufukuzwa uwaziri bado amekua mtetezi mkubwa wa Rais Magufuli.

Unakumbuka Kichere alipewa u-CAG kwa sababu ya utiifu wake baada ya kuondolewa u- CG wa TRA hakulalamika wala kuongea mabaya. Hali iko hivyo kwa Mwigulu.
 
Nakumbuka nilipokuwaga class monitor enzi za sekondari watu waliokuwa wananisifia wali enjoy sana maana nikipewa kitu nikagawe kwa darasa zima nawapa watu wangu kwanza
 
...Si Mchezo...Hongera kwa mwigulu kupata second chance...chai ya moto sana hii
 
Mpenda sifa akisifiwa, husahau yote hayo. Criterion ya juu kabisa ni kusifia...
 
Labda vioja vya aliyemrithi Mwigulu kwenye wizara ile vimemfikirisha mzee Baba.
Mzee alitaka mtu wa Fujo kama LUGOLA, alipompata Lugola ndo akajifunza kumbe wizara nyeti kama ile haihitaji fujo wala papara.
Hii ni dhahiri kwa kuona mtu aliyempeleka pale baada ya Lugola na ukisikiliza spichi yake mwenyewe aliyotoa Mzee wakati akimuapisha waziri mpya. Siku hizi husikii fyokofyoko na matamshi kwa watumishi wa wizara ile.
Angekuwa anataka fujo ziendelee angepeleka watu wa sampuli ya akina Kigwa, etc.

Kiaina amegundua alimuonea Mwigulu.

Pia anapanga safu ya kampeni. Mwigulu zimepangika kichwani. Pia Mwigulu hajawahi msaliti, hivyo mzee hana shaka na loyalty yake.
 
Bangi Lugoba naye atarudishwa mambo yakiwa kama yanavyoendelea.
 
Kweli nchi inaendeshwa kwa sifa jamaa kumsifia upuudhi wake wa kujificha chato huko anampa cheo kweli hii ni fucking banana republic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…