Rais Magufuli aeleza sababu 13 za kumfukuza kazi Mwigulu Nchemba

Kutakuwa na sinema ya kusisimua mpaka mtu huyu amalize muda wake wengi tutajuta kuruhusu watu wa aina hii kuongoza.
 
yaani huu uteuzi ni proof tosha Magufuli anateua watu kwa wale wanaomsifu tu na sio wenye uweledi,we as a country are doomed.
 
Mimi nasema hivi , " SIONGEZI NENO "
 
Hizi hoja ni nzito sana; inaonekana uchunguzi ulikuwa dhaifu sana kiasi cha kushindwa kubaini chanzo cha kasoro za kiutendaji zilizobainishwa, maana hata aliyefuatia hajafanikisha lolote.

Sasa alikuwa mtekelezaji wa sheria, kesho anakuwa msimmizi wa kuona sheria zinafuatwa.
 
Eti jiwe anadai mkataba wa Trillion uliosainiwa na Ninja hajui? Na hapohapo anadai analetewa habari za ugomvi wakigwa na katibu mkuu maliasili. Iweje mkataba uliosainiwa na Ninja sasa asijuwe

Really Jiwe sucks
 
Aisee hi miaka Mitano itabski katika kumbumbuku ....tumeona Mengi Sana!
 
Sometimes inabidi kuwa mtazamaji tu, kwasababu sioni sababu ya kuumia eti kwasababu Kobe kashindwa kupanda mti.

Tujisikitie tu kwa kuweka matarajio kwa kobe huyo kupanda mlima wakati hana uwezo.
 
Aliyeleta JF big up. Nimeisoma mara 3 na kuunganisha dots
 
Nawazumu MATAGA kwenye huu uzi nasema hiiiiiiii.. Dah ila tuna Rais msanii balaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…