Yani si tu kwamba kachagua mtu mzembe.We kweli kiranga...Sasa ya Jana sijui utasemaje Mungu Wangu!
Kwenye true, naunga mkono hojaAisee!! Sisi wengine ni "Verified User" kama alivyo Pascal Mayalla mabandiko mengine tutaishia kusoma tu na siyo kuchangia!!
Ikulu ni Mzigo - NyerereAlikuwa anamzushia ili kuhalalisha kumfukuza
Wachezaji wa akiba hakuna hivyo lazima majeruhi warudi uwanjani.mbona umechelewa sana kujua mkuu !
Na Leo kamrudisha yuleyule dhaifuMheshimiwa Rais kachambua udhaifu kwa kina kwelikweli!
ππππHuu ndio ukweli wenyewe
Mheshimiwa Rais kachambua udhaifu kwa kina kwelikweli!
mimi tokea ni mjue sijawahi kumuelewa hata kidogo.bora kapumzishwa
Sababu zimejitoshereza mh. Rais umechukua hatua nzuri na mhimu.
Mkapa alipoamua kumshughulikia Kiura hakuchua muda kihivyo...., Kikwete alipoamua kuwashughulikia akina Mahalu, Mramba na Yona hakupoteza muda kihivyo ...... sasa hii ya kusubiri miaka miwili na nusu ndiyo unaanzakuibua hoja inatia wasi wasi kidogo kama kweli kuna nia ...........!!
Hoja ya Lugumi ilipigia kelele sana humu na Bungeni ... Muda unavyozidi kwenda ndiyo ushahidi unavyozidi kupotea au kuwa mgumu. Mashahidi wengine wanakufa, wanastaafu n.k.
Miaka mine baadaye Mwigulu bado ni yuleyule na ujinga wake uleule, apumzishwe for good.Sababu zinajitosheleza no more sympathy.
Vipi?Kuna watu walishaanza kuzusha kuhusiana na waraka wa KKKT, hapa kila kitu kipo wazi.
wasiolitakia mema taifa letu, bado wanaendelea kutafuta namna ya kutufitinisha lakini hawatafanikiwa.