Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Yani si tu kwamba kachagua mtu mzembe.We kweli kiranga...Sasa ya Jana sijui utasemaje Mungu Wangu!
Kachagua mtu mzembe.
Kamfukuza kazi.
Halafu kamrudisha tena kazini.
Hapo anayeteuliwa mzembe, lakini anayeteua ana matatizo ya akili.
Sent using Jamii Forums mobile app