Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inategemea na alivyo amka....[emoji23]Rais anabadilika kama kinyonga.
Unamjua?Huyo Marwa vetting imekurupuka sana wampekue vizuri ni mchafu sana corruptly & mtumiaji ovyo wa madaraka
Hapana,hapo imeelezwa kabakizwa kwenye kazi yake ya mwanzo pale ofisi ya Rais.Ukute mteuliwa wa mwanzo nae kachukua form dadeki zake.
Mbona hata hujuwi kinacho endelea una anza laumu sibora ukae kimya. Nani kamtumbuwa? Au umeelewa nn kwenye mada some time waza postiveKabla ya juzi mkuu wa mkoa wa Njombe alikuwa Ole Sendeka, juzi akawa Jumanne Fikha, leo Mwita Rubya!
Ushauri wangu kwa mheshimiwa Rais, kwa sasa aachane na haya mambo ya kutumbua na kuteuateua, afanye mambo mengine. Hayana faida yoyote kwa sisi wananchi, tumeshayachoka.
Wengi ya watu wanaoitwa ''wa ofisi ya rais'' ni TISS. Pengine alikuja ambiwa kuwa huyo jamaa ni kiungo muhimu kwenye kuchakuchua kura.Hapana,hapo imeelezwa kabakizwa kwenye kazi yake ya mwanzo pale ofisi ya Rais.
Sijakurupuka note hivyoUnamjua?
Cheo cha kuteuliwa na President kinakua effective pale mteuliwa anapochukua kiapo chake.Kabla ya juzi mkuu wa mkoa wa Njombe alikuwa Ole Sendeka, juzi akawa Jumanne Fikha, leo Mwita Rubya!
Ushauri wangu kwa mheshimiwa Rais, kwa sasa aachane na haya mambo ya kutumbua na kuteuateua, afanye mambo mengine. Hayana faida yoyote kwa sisi wananchi, tumeshayachoka.
Really now!?... Hii ni Sawa na kusema wabunge wa CCM wamejazana kwenye kamati za kudumu za Bunge bila kutilia maanani wao ndio wengi Bungeni...FYI kanda Ile INA 1/3 ya population ya nchi hii. Na demokrasia mara nyingi unasema wengi wape.kanda pendwa inazidi kungaraaaaaaaaaaaaaa
Kafanya kazi siku mbili tuRais Magufuli amemteua mhandisi Marwa Mwita Rubirya kuwa mkuu wa mkoa wa Njombe badala ya Dr Jumanne Fikha anayerudi ofisi ya Rais.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Kafanya kazi siku mbili tu
Yeah si unajua hata Tamisemi ipo chini ya Rais, Takukuru, UWT na Matume kibaoKumbe ofisi ya rais kuna wafanyakaz kibao
Ndio maana watu wamekimbilia majimboni,teuzi hizi siyo kabisaTeuzi awamu hii zimeshapoteza maana kabisa!!
apewae ndie aongezwae! subiri zamu yako!Huyo Marwa vetting imekurupuka sana wampekue vizuri ni mchafu sana corruptly & mtumiaji ovyo wa madaraka