Cliffhanger
JF-Expert Member
- May 22, 2018
- 721
- 1,293
Aliyeteuliwa juzi kisha jenga nchi chap ateuliwe mwingine naye apige kazi
Try and Error Method!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyeteuliwa juzi kisha jenga nchi chap ateuliwe mwingine naye apige kazi
Nyanda za Juu Kusini pagumu mwita asijitutumueHuyo Marwa vetting imekurupuka sana wampekue vizuri ni mchafu sana corruptly & mtumiaji ovyo wa madaraka
Wale Wataalamu wa Nyota... hivi huu ndo Mwezi Mchanga, au ni Upepo wa Kusi?! Hoyaa Mshana Jr, hivi huku kwenye mambo ya Mwezi Mchanga huna utalaamu nako?!
Kule Uswahilini kwetu nasikia kuna kitu kinaitwa kipaipai! Nasikia watalaamu wa kipaipai huwa wanafunga kikaratasi kwenye mti!! Sasa ngoja pepo la kusi lianze kupeperusha kikaratasi huku na huko constantly!!!
Ndo hapo unakuta jamaa mmekaa mnapiga nae stori, mara anainuka huyoo, mbele kidogo mara anasimama na kurudi alikotoka kabla hajabadili tena njia kueelekea upande mwingine... ni mwendo wa kufuata mwelekeo wa kikaratasi hadi Kusi lipite!!
Halafu hata sijui nilitaka kusema nini hasa hapo... cjui na mimi ndo Pepo la Kusi lenyewe!!!
Ila tuache masihara... Watanzania tuweke siasa pembeni tukisake hicho kikaratasi kwa udi na uvumba kabla hamjasikia Bashite kateuliwa kuwa RPC Kanda Maalumu ya Kinondoni!!
Yusuf Lule,,,,,, Godfrey Binaisa..Paulo muwanga
Teuzi awamu hii zimeshapoteza maana kabisa!!
Hivi Jumanne Fikha alikuwa ameshaapishwa?? Au ni juu kwa juu??Kabla ya juzi mkuu wa mkoa wa Njombe alikuwa Ole Sendeka, juzi akawa Jumanne Fikha, leo Mwita Rubya!
Ushauri wangu kwa mheshimiwa Rais, kwa sasa aachane na haya mambo ya kutumbua na kuteuateua, afanye mambo mengine. Hayana faida yoyote kwa sisi wananchi, tumeshayachoka.
Hapo ulipokuwa hawakukutimua lakini kwamba unawapigia kelele?! All in all, itakuwa nimepatia kuhusu Pepo la Kusi kutaka kutuharibia mpendwa wetu, si eti!?Nimecheka Sana......halafu kwa nguvu