Rais Magufuli afanya teuzi 10: Aboubakar Kunenge awa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Joseph Mkirikiti Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Paulo Mshimo katibu Tawala Dar...

Rais Magufuli afanya teuzi 10: Aboubakar Kunenge awa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Joseph Mkirikiti Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Paulo Mshimo katibu Tawala Dar...

The Evil Genius

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
6,017
Reaction score
19,506
Rais Magufuli ametua Wakuu wa Mikoa Katibu Tawala wa Mkoa Wakuu wa Wilaya Wakurugenzi wa Halmashauri na Makatibu Tawala wa Wilaya .

1594824568226.png
1594824589946.png
1594824601772.png
 
Afadhali tusimsikie tena Bashite hapa Bongo! Tupate kupumua sasa. Katika teuzi zote hizo, hili ndio nimeona la muhimu kuliko yote.

Halafu hii ya kuteua watu jioni na kuwataka wawe ikulu asubuhi yake ina maana gani? Fikiria mtu ambaye yuko Tandahimba, unamhitaji awe Chamwino asubuhi saa 4! Maana yake wanatakiwa kuwa barabarani usiku. Siyo nzuri kabisa kwa usalama wao.
 
Bhite Bye Bye na Mbwembwe zako.
Ubaya mwingi umewafanyia wapinzani,kamwe hatutakusahau.
Hasa kitendo cha kupga kibao Mzee Warioba,
na Kumbeba Lipumba wakati wa Mkutano mkuu wa CUF wa kumfukuza uwenyekiti na kuteu Mwenye kiti mpya. kuleta fujo
 
Back
Top Bottom