Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Mara paap, jina linakatwa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameteuliwa?Benadi morisoni ametoka?
Ni kweli mkuu unajua wakati mwingine kiherehere sio kizuri unaweza jiabisha mwenyewe au kujivunjia heshma mbele ya jamiitabia ya kutokukurupuka ni nzuri sana.
Hiyo kama kawaidaMara paap, jina linakatwa!
Hiyo kama kawaida
Mara paap, jina linakatwa!
Lazima akatweHii ni mipango tu,makonda ameachia ukuu wa mkoa huku amehakikishiwa ubunge pengine na uwaziri.
Hajachukua fomu ya kugombea ubunge kwa kubahatisha chief, .
Bashite anagombea ubunge apate nafasi ya uwaziri.Vipi unakimbizwa na bashite usitoe taarifa ya kutumbuliwa kwake nini mbona uko mbio hivyo. Tulia uandike vizuri
Sasa anakwenda bungeni si ndio utaugua mzeeAfadhali tusimsikie tena Bashite hapa Bongo! Tupate kupumua sasa.
Kama unakumbuka juzi mh rais alisema "nukuu"toshekeni na vyeo vyenu, unakuta mtu ana cheo fulani halafu anaenda kugombea tena cheo .mwisho.Ngoja tusubiri tuone hawa jamaa wameshibana kweli!
Kama unakumbuka juzi mh rais alisema "nukuu"toshekeni na vyeo vyenu ,unakuta mtu ana cheo fulani alafu anaenda kugombea tena cheo .mwisho.
Hii kauli itaondoka na wengi.