Rais Magufuli afanya teuzi 10: Aboubakar Kunenge awa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Joseph Mkirikiti Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Paulo Mshimo katibu Tawala Dar...

Afadhali tusimsikie tena Bashite hapa Bongo! Tupate kupumua sasa. Katika teuzi zote hizo, hili ndio nimeona la muhimu kuliko yote.

Halafu hii ya kuteua watu jioni na kuwataka wawe ikulu asubuhi yake ina maana gani? Fikiria mtu ambaye yuko Tandahimba, unamhitaji awe Chamwino asubuhi saa 4! Maana yake wanatakiwa kuwa barabarani usiku. Siyo nzuri kabisa kwa usalama wao.
 
Bhite Bye Bye na Mbwembwe zako.
Ubaya mwingi umewafanyia wapinzani,kamwe hatutakusahau.
Hasa kitendo cha kupga kibao Mzee Warioba,
na Kumbeba Lipumba wakati wa Mkutano mkuu wa CUF wa kumfukuza uwenyekiti na kuteu Mwenye kiti mpya. kuleta fujo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…