Mbunge wa Kigamboni huyo mkuuagizo kutoka kwa aliyemteua. hata huo ubunge hapati ng'o
Wengi wamekwenda kutia nia mkuu
Ngoja tusubiri, huenda na sie tukapata mashavuwatakua wameishaandika barua mkuu so atawala vichwa tu huwezi kutoka kituo cha kazi bila barua ya ruhusa na watu wa usalama wako macho kweli ile unai print tu jiwe kaishapata taarifa
watia nia wengi kuliko wapiga kura ccm imepiga hela za fomu sanaHivi huu ubunge wa mwaka huu mbona watu wana shobo nao sana!!!
Ndungulile anakatwa kaka mbona hili watu walishalisema muda tu yaani kilichoongelewa na kinachoendelea ndo kilekile yaani hata kabla Ndugulile hajatumbuliwa watu walishaongea. Tuombe uhai tu, yaani wakiona haya basi Makonda atateuliwa ktk ubunge ili apewe anachotakiwa kupewa.Hawezi kumshinda Ndugulile labda apewe viti maalum.
ndio mkuu kijiwe chake kikubwa cape town fish market masaki huku mkuuKwahy sasa hivi tukikutana nae tunampa tano kama kawaida
Tunza beat, kesho keshokutwa mara paap kawa waziriBhite Bye Bye na Mbwembwe zako.
Ubaya mwingi umewafanyia wapinzani,kamwe hatutakusahau.
Hasa kitendo cha kupga kibao Mzee wariopba,
na Kumbeba Lipumba wakati wa Mkutano mkuu wa CUF wa kumfukuza uwenyekiti na kuteu Mwenye kiti mpya. kuleta fujo
Ngoja tusubiri, huenda na sie tukapata mashavu
Kwani insfanywa surprise?Afadhali tusimsikie tena Bashite hapa Bongo! Tupate kupumua sasa. Katika teuzi zote hizo, hili ndio nimeona la muhimu kuliko yote.
Halafu hii ya kuteua watu jioni na kuwataka wawe ikulu asubuhi yake ina maana gani? Fikiria mtu ambaye yuko Tandahimba, unamhitaji awe Chamwino asubuhi saa 4! Maana yake wanatakiwa kuwa barabarani usiku. Siyo nzuri kabisa kwa usalama wao.