Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Amnyooshe nani? Mimi? Labda Trump ampe uwaziri wa mambo ya ndani wa USA. Nyooshaneni huko wenyewe kwa wenyewe.
Utamsikia kwenye teuzi za Mawaziri. Atakuwa Waziri wa Mambo ya Ndani aendelee kuwanyoosha