Rais Magufuli afanya teuzi 10: Aboubakar Kunenge awa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Joseph Mkirikiti Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Paulo Mshimo katibu Tawala Dar...

Ila makonda kachemsha sana kuwaacha nafasi ya RC, Au anautaka uwaziri

Ova
 
Afadhali tusimsikie tena Bashite hapa Bongo! Tupate kupumua sasa. Katika teuzi zote hizo, hili ndio nimeona la muhimu kuliko yote.
Ile ilikuwa danganya toto ili kuwazuga nyumbu wa bavicha!
Sifikirii Makonda kama kakurupuka
Usiiamini sana siasa
Haina formula, mm binafsi makonda kama kaachia mwenyewe nafasi ya u RC kachemsha

Ova
 
Hao akina Lissu waliopigwa risasi 16 unawaonaje? Hao akina Clouds waliokuwa wanavamia na wanajeshi wenye bunduki, unawaonaje? Na tena bado. Wanasema malipo ni hapahapa duniani. You live by the sword, you die by the sword, kwa Kimakonde.
Unaroho mbaya daaa
 
Haya buana mwisho wa episodi mtaibika
 
Magu alisema akikutaka uwe waziri hata usipogombea ubunge atakuteua tu
Sure.Tumeona kina Dr. Mahiga wamepewa ubunge na uwaziri.

Ila Magu na Polepole wana mtihani sasa hivi, kwa mkwala waliopiga na Bashite kutia nia, inabidi Bashite wamkate.

Polepole kasema kabisa anasikia mkuu wa mkoa anataka kugombea jimbo Kigamboni.
Akatoa salamu zimetoka kwa Magu (sijui hawawezi kupigiana simu au ndiyo show ya jamii tu?). Message ni kwamba, akigombea atakatwa.

Swali ni je, watamkata?
 
Afadhali tusimsikie tena Bashite hapa Bongo! Tupate kupumua sasa. Katika teuzi zote hizo, hili ndio nimeona la muhimu kuliko yote.
Huyo anaenda kupewa MHIMILI wake kaka timu linatengenezwa hapo kaka ohooo
 
Sijui kwanini Makonda hakuridhika na URC huyu mzee hachelewi kumkata kwanza kamvumilia sana
 
Afadhali tusimsikie tena Bashite hapa Bongo! Tupate kupumua sasa. Katika teuzi zote hizo, hili ndio nimeona la muhimu kuliko yote.
Yaani watu kupotea kwa heri, mtandao wa wasiojulikana kwaheli, jamani acha tupumue maana maneno yake ya shombo yalitukatisha tamaa. Juzi Polepole kampa za uso, uwezi kumtoa Dr. Msoni ukamweka huyu poyoyo
 
Sure.Tumeona kina Dr. Mahiga wamepewa ubunge na uwaziri.

Ila Magu na Polepole wana mtihani sasa hivi, kwa mkwala waliopiga na Bashite kutia nia, inabidi Bashite wamkate.

Polepole kasema kabisa anasikia mkuu wa mkoa anataka kugombea jimbo Kigamboni.
Akatoa salamu zimetoka kwa Magu (sijui hawawezi kupigiana simu au ndiyo show ya jamii tu?). Message ni kwamba, akigombea atakatwa.

Swali ni je, watamkata?
Hatakatwa
 
Yani BASHITE awe waziri!?? Em shirikisheni Bongo kufikiri.
Yaani we huamini au? Ndo hivyo mzee kikosi kinaandaliwa hicho na zaidi anaweza hata kupewa mhimili mmoja we subiri baada ya oktoba Mkuu tuombe uhai.
 
Back
Top Bottom