Rais Magufuli afanya teuzi 10: Aboubakar Kunenge awa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Joseph Mkirikiti Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Paulo Mshimo katibu Tawala Dar...

Rais Magufuli afanya teuzi 10: Aboubakar Kunenge awa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Joseph Mkirikiti Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Paulo Mshimo katibu Tawala Dar...

Mie nawaza hivi hawa zile gratuity huwa zinakuwaje muda unapomalizika.. hawa wanaotumbuliwa na wengine wanaoteuliwa ukizingatia baada ya uchaguzi huwa kuna uteuzi pia.

Haziwezi kuwa ni gharama kwa serikali kuwalipa hawa viumbe?
 
Kwa kasi hii ya watu kujitokeza kugombea ubunge ni wakati wa kutengeneza bunge litakalokuja na hoja ya kuondoa ukomo wa urais na itapita kwa kishindo.
 
Teuzi za serikali za mitaa huwa ni za kushitukiza. Unaisikia mara ya kwanza kwenye vyombo vya habari. Hata mawaziri hivyo hivyo. Anayeambiwa kabla ya uteuzi ni Waziri Mkuu.
Hoja yako nzuri sana.
Sema nahisi wenyewe walishapewa taarifa mapema kabla ya umma kujulishwa.
Watakuwa walisha anza safari kabla ya tangazo.
 
Halafu hii ya kuteua watu jioni na kuwataka wawe ikulu asubuhi yake ina maana gani? Fikiria mtu ambaye yuko Tandahimba, unamhitaji awe Chamwino asubuhi saa 4! Maana yake wanatakiwa kuwa barabarani usiku. Siyo nzuri kabisa kwa usalama wao.
Wote hao hakuna mgeni hapo ambae hajawahi kuitwa ghafla tamisemi dodoma
Halafu nchi.yetu ni lami tupu
 
Makonda na Mnyeti wanautafuta uwaziri na wataupata. Makonda atashinda ubunge na namtabiria huenda akawa waziri mkuu ajae au waziri wa mambo ya ndani. Mnaoshangilia Leo mtalia kesho!
 
Mk
Halafu hii ya kuteua watu jioni na kuwataka wawe ikulu asubuhi yake ina maana gani? Fikiria mtu ambaye yuko Tandahimba, unamhitaji awe Chamwino asubuhi saa 4! Maana yake wanatakiwa kuwa barabarani usiku
Mkuu hilo Tangazo ni Notification ya Umma, Wahusika wanaandaliwa mapema; Niliona Kwenye Status ya Mmoja wa wateuliwa hapo, kwenye whatsApp tangu saa 4 Asubuhi; " Asante Mkuu kwa kuniamini Tena", Halafu akaweka Picha ya Mheshimiwa Rais, Sikumwelewa mpaka Nilipoona hiyo Advert;
Hivyo wanakuwaga na Pre Info
 
Unamaana gani kwa hii dharau au kebehi kwa cheo cha ssgt? Unajua ana elimu gani, unajua cv yake? umethubutuje kuhoji kuhusu ssgt? Vaa viatu vya size ya akili yako
Mimi mwenyewe nimeuliza nilitegemea unipe majibu ila cha ajabu unaleta ligi tena.
 
Watakuwa waongo. Kihamia wa Tume ya Uchaguzi ya zamani alihojiwa akasema aliusikia uteuzi wake redioni. Na alisafiri usiku kucha kufika Dar kwa ajili ya kuapishwa. Sasa kama aliongopa ni juu yake.
Mk

Mkuu hilo Tangazo ni Notification ya Umma, Wahusika wanaandaliwa mapema; Niliona Kwenye Status ya Mmoja wa wateuliwa hapo, kwenye whatsApp tangu saa 4 Asubuhi; " Asante Mkuu kwa kuniamini Tena", Halafu akaweka Picha ya Mheshimiwa Rais, Sikumwelewa mpaka Nilipoona hiyo Advert;
Hivyo wanakuwaga na Pre Info
 
Halafu hii ya kuteua watu jioni na kuwataka wawe ikulu asubuhi yake ina maana gani? Fikiria mtu ambaye yuko Tandahimba, unamhitaji awe Chamwino asubuhi saa 4! Maana yake wanatakiwa kuwa barabarani usiku. Siyo nzuri kabisa kwa usalama wao.
Nyungo zipo
 
Back
Top Bottom