Wewe hii inchi Ina masnich wengi zaidi ya huyo halafu katokea kigoma mzeeeJidanganye eti zali limemwangukia. Endelea kukariri.
Makonda sio wa kutumbuliwa kirahisi hivyo.Kuna wajinga hawataki kusoma nyakati wanagonga bia kwamba katumbuliwa pole kwao
Sema Ile kauli ya Polepole inafikirisha sana, kama kweli hana baraka za Mheshimiwa.Hivi unakumbuka pole pole alisema nini juu makonda wewe?
Hoja yako nzuri sana.
Sema nahisi wenyewe walishapewa taarifa mapema kabla ya umma kujulishwa.
Watakuwa walisha anza safari kabla ya tangazo.
Tuki sikia Bashite kawa waziri mkuu tusi shangae
Wote hao hakuna mgeni hapo ambae hajawahi kuitwa ghafla tamisemi dodomaHalafu hii ya kuteua watu jioni na kuwataka wawe ikulu asubuhi yake ina maana gani? Fikiria mtu ambaye yuko Tandahimba, unamhitaji awe Chamwino asubuhi saa 4! Maana yake wanatakiwa kuwa barabarani usiku. Siyo nzuri kabisa kwa usalama wao.
Exactly!Retired
Unachosema ni kweli kabisa
Anachotaka Magu, huyo Makonda "wake" apate ridhaa ya Jimbo mojawapo hapa nchini........
Ili awe "comfortable" kumteua katika nafasi yoyote ya juu
Nadhani ni miongoni mwa kilichomponzaSema Ile kauli ya Polepole inafikirisha sana, kama kweli hana baraka za Mheshimiwa.
Huyo ssgt wa jeshi la wananchi ana maajabu gani mpaka kapewa ukuu wa wilaya duh! Amakweli Magufuli noma.
View attachment 1507691
Mkuu hilo Tangazo ni Notification ya Umma, Wahusika wanaandaliwa mapema; Niliona Kwenye Status ya Mmoja wa wateuliwa hapo, kwenye whatsApp tangu saa 4 Asubuhi; " Asante Mkuu kwa kuniamini Tena", Halafu akaweka Picha ya Mheshimiwa Rais, Sikumwelewa mpaka Nilipoona hiyo Advert;Halafu hii ya kuteua watu jioni na kuwataka wawe ikulu asubuhi yake ina maana gani? Fikiria mtu ambaye yuko Tandahimba, unamhitaji awe Chamwino asubuhi saa 4! Maana yake wanatakiwa kuwa barabarani usiku
Mimi mwenyewe nimeuliza nilitegemea unipe majibu ila cha ajabu unaleta ligi tena.Unamaana gani kwa hii dharau au kebehi kwa cheo cha ssgt? Unajua ana elimu gani, unajua cv yake? umethubutuje kuhoji kuhusu ssgt? Vaa viatu vya size ya akili yako
Lakini michezo ndio kwanza imeanzaHivi unakumbuka pole pole alisema nini juu makonda wewe?
Million 350 zinafika akaunt za ukoo wenu mzima?Story za vijiwe vya bao...
Atakutandika bakora[emoji3064][emoji3064]
Mk
Mkuu hilo Tangazo ni Notification ya Umma, Wahusika wanaandaliwa mapema; Niliona Kwenye Status ya Mmoja wa wateuliwa hapo, kwenye whatsApp tangu saa 4 Asubuhi; " Asante Mkuu kwa kuniamini Tena", Halafu akaweka Picha ya Mheshimiwa Rais, Sikumwelewa mpaka Nilipoona hiyo Advert;
Hivyo wanakuwaga na Pre Info
Nyungo zipoHalafu hii ya kuteua watu jioni na kuwataka wawe ikulu asubuhi yake ina maana gani? Fikiria mtu ambaye yuko Tandahimba, unamhitaji awe Chamwino asubuhi saa 4! Maana yake wanatakiwa kuwa barabarani usiku. Siyo nzuri kabisa kwa usalama wao.