Omusolopogasi JF-Expert Member Joined Aug 31, 2017 Posts 7,101 Reaction score 18,051 Jul 16, 2020 #321 Siyo lazima utetee kila kitu. Inawezekana kabisa kuwa na utaratibu mzuri wa kuteua na kuapisha watu bila kuahatarisha usalama wao. kabombe said: Wote hao hakuna mgeni hapo ambae hajawahi kuitwa ghafla tamisemi dodoma Halafu nchi.yetu ni lami tupu Click to expand...
Siyo lazima utetee kila kitu. Inawezekana kabisa kuwa na utaratibu mzuri wa kuteua na kuapisha watu bila kuahatarisha usalama wao. kabombe said: Wote hao hakuna mgeni hapo ambae hajawahi kuitwa ghafla tamisemi dodoma Halafu nchi.yetu ni lami tupu Click to expand...
Kichwamoto JF-Expert Member Joined Jan 21, 2019 Posts 3,403 Reaction score 4,692 Jul 16, 2020 #322 Mr pianoman said: Mimi mwenyewe nimeuliza nilitegemea unipe majibu ila cha ajabu unaleta ligi tena. Click to expand... Unamletea dharau mwenye elimu ya ngazi ya Master, acha utopolo usirudie dharau kwa gallant states men, dharau wengine
Mr pianoman said: Mimi mwenyewe nimeuliza nilitegemea unipe majibu ila cha ajabu unaleta ligi tena. Click to expand... Unamletea dharau mwenye elimu ya ngazi ya Master, acha utopolo usirudie dharau kwa gallant states men, dharau wengine
Mr pianoman JF-Expert Member Joined May 22, 2019 Posts 2,595 Reaction score 6,264 Jul 16, 2020 #323 Galileo_Gaucho said: Unamletea dharau mwenye elimu ya ngazi ya Master, acha utopolo usirudie dharau kwa gallant states men, dharau wengine Click to expand... Dharau zipi nilizo leta hapo mkuu? Mimi nimeuliza hivyo ulitakiwa unipe hiyo CV yake wewe unae mjua huo ndio uungwana sio kutoa matusi.
Galileo_Gaucho said: Unamletea dharau mwenye elimu ya ngazi ya Master, acha utopolo usirudie dharau kwa gallant states men, dharau wengine Click to expand... Dharau zipi nilizo leta hapo mkuu? Mimi nimeuliza hivyo ulitakiwa unipe hiyo CV yake wewe unae mjua huo ndio uungwana sio kutoa matusi.
Mr pianoman JF-Expert Member Joined May 22, 2019 Posts 2,595 Reaction score 6,264 Jul 16, 2020 #324 Galileo_Gaucho said: Unamletea dharau mwenye elimu ya ngazi ya Master, acha utopolo usirudie dharau kwa gallant states men, dharau wengine Click to expand... Alafu unanitishia elimu ya Masters digrii mbili si ndio?
Galileo_Gaucho said: Unamletea dharau mwenye elimu ya ngazi ya Master, acha utopolo usirudie dharau kwa gallant states men, dharau wengine Click to expand... Alafu unanitishia elimu ya Masters digrii mbili si ndio?
Fursakibao JF-Expert Member Joined Dec 12, 2017 Posts 6,813 Reaction score 11,540 Jul 16, 2020 #325 Mhujumu Uchumi said: Na akiahishindwa kuonesha vyeti vyake vya kitaaluma tunaye! Ngoja tuone utaratibu wa kisheria unasema vipi kuhusu mtu baki kumshitaki! Hatuwezi kuwa na waziri wa mambo ya ndani bogus (Maana inasemekana atapewa ushindi wa ubunge, Kisha uwaziri). Click to expand... Sifa ya kuwa mbunge ni kujua kusona na kuandika sasa sijui vyeti mtaitisha vya nini?
Mhujumu Uchumi said: Na akiahishindwa kuonesha vyeti vyake vya kitaaluma tunaye! Ngoja tuone utaratibu wa kisheria unasema vipi kuhusu mtu baki kumshitaki! Hatuwezi kuwa na waziri wa mambo ya ndani bogus (Maana inasemekana atapewa ushindi wa ubunge, Kisha uwaziri). Click to expand... Sifa ya kuwa mbunge ni kujua kusona na kuandika sasa sijui vyeti mtaitisha vya nini?
Kichwamoto JF-Expert Member Joined Jan 21, 2019 Posts 3,403 Reaction score 4,692 Jul 16, 2020 #326 Mr pianoman said: Alafu unanitishia elimu ya Masters digrii mbili si ndio? Click to expand... Ndio ndio CV yake hio, alishawahi vunjika mazoezini lakini alisamika ndio maana anadunda kamanda, be careful
Mr pianoman said: Alafu unanitishia elimu ya Masters digrii mbili si ndio? Click to expand... Ndio ndio CV yake hio, alishawahi vunjika mazoezini lakini alisamika ndio maana anadunda kamanda, be careful
Redpanther JF-Expert Member Joined Feb 23, 2019 Posts 2,823 Reaction score 3,816 Jul 16, 2020 #327 Cicadulina said: agizo kutoka kwa aliyemteua. hata huo ubunge hapati ng'o Click to expand... Hizo ni habari za kusadikika mrembo..! Paul makonda anachukua Ubunge wa kigamboni
Cicadulina said: agizo kutoka kwa aliyemteua. hata huo ubunge hapati ng'o Click to expand... Hizo ni habari za kusadikika mrembo..! Paul makonda anachukua Ubunge wa kigamboni
DeepPond JF-Expert Member Joined Nov 18, 2017 Posts 41,728 Reaction score 103,997 Jul 16, 2020 #328 Joowzey said: Atakutandika bakora[emoji3064][emoji3064] Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23]
Joowzey said: Atakutandika bakora[emoji3064][emoji3064] Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23]