Katambi amechukua fom ya ubunge shinyanga mjini
Endelea kujidanganya..Hilo gar nililokutajia ukijumlisha salio la akaunti zenu za benk ukoo mzima hamfikii Bei yakeSasa Ata Push Up.. Na ndo byebye.
Chief huyo ssgt anaweza kuwa na uwezo mkubwa kuliko wakuu wa wilaya wengi tuHuyo ssgt wa jeshi la wananchi ana maajabu gani mpaka kapewa ukuu wa wilaya duh! Amakweli Magufuli noma.
Kanjibai we unagombea wapi[emoji2]
Kesho mapema kabisa kabla jogoo hajawika,Katambi amechukua fom ya ubunge shinyanga mjini
Nmetia Nia Jimbo la KONGWA -ccm, lazima nimg'oe ndugaiKanjibai we unagombea wapi[emoji2]
Hawezi kuwa waziri mkuu. Majaliwa anatosha. Mnaanzisha uzi ili muendeleze majungu. Ndo udhaifu wenu. Hampendi kushindwa. Hamna sera bonafsi wala za vyama.
Unajua maana ya Sayansi......acha upumbavuSiasa ni sayansi.
Za nyuma ya pazia zinadai malengo ya Paul Makonda ni kuongoza mhimili wa bunge katika bunge lijalo.
Nisiseme mengi ngoja tuone.
Maendeleo hayana vyama!
Ukabila tuu ndio unambebakumbukeni huyu kijana katoka mbali mzee mkapa alimpa nauli kwenda dodoma kugombea umoja wa vijana, Mzee jakaya akampa ukuu wa wilaya Na Mzee Magufuli akampa ukuu wa Mkoa sasa anaelekea kwenye ubunge , akitoka hapo anaelekea wapi? kijana anajua kujiongeza pia ana bahati pia, juhudi aishindani na kudra ya mwenyezi mungu. utaongea mtachoka wenzenu ana bahati.
Utamsikia kwenye teuzi za Mawaziri. Atakuwa Waziri wa Mambo ya Ndani aendelee kuwanyooshaAfadhali tusimsikie tena Bashite hapa Bongo! Tupate kupumua sasa.
100% Ni Tiss [emoji847] HuyuUpande wa pili huyoo mkuu
Yani kabila msukuma halafu jina likatwe!??/mtasuburi sanaMara paap, jina linakatwa!
Lakini alishasema itategemea siku hiyo kaamkaje kwahiyo tutegemee lolote linaweza kutokea.Ile ilikuwa danganya toto ili kuwazuga nyumbu wa bavicha!
Sifikirii Makonda kama kakurupuka
Huyo RAS aliyepandishwa kuwa RC alikuwa yes man wa Bashite.Rais Magufuli ametua Wakuu wa Mikoa Katibu Tawala wa Mkoa Wakuu wa Wilaya Wakurugenzi wa Halmashauri na Makatibu Tawala wa Wilaya .
View attachment 1507627View attachment 1507630View attachment 1507631
Unajua watanzania bado hawajaelewa siasa za awamu hii wanafikiribanabahatisha hawajui hayo ni maelezo kutoka juuuuuuuuuuHajachukua fomu ya kugombea ubunge kwa kubahatisha chief, .
Yani kabila msukuma halafu jina likatwe!??/mtasuburi sana
Story za vijiwe vya bao...Endelea kujidanganya..Hilo gar nililokutajia ukijumlisha salio la akaunti zenu za benk ukoo mzima hamfikii Bei yake