Rais Magufuli afanya teuzi 10: Aboubakar Kunenge awa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Joseph Mkirikiti Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Paulo Mshimo katibu Tawala Dar...

Rais Magufuli afanya teuzi 10: Aboubakar Kunenge awa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Joseph Mkirikiti Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Paulo Mshimo katibu Tawala Dar...

Bashite kesha fika kawe kwenye maombezi muda huu
FB_IMG_1594825989744.jpeg
 
ubunge mtamu miaka mitano unalipwa milion 220 na zaidi umekaa Miaka 5 tu na mshahara na malupulupu Milion 12 kila Mwenzi ubunge unakopa gari.
 
Mh. Magufuli anataka vijana kuwapa uwaziri utasikia sasa hivi waziri utawala bora.
 
Back
Top Bottom